Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

Hivi siku tuamke Mungu katenganisha wanaume na wanawake na wote muwe na afya njema kabisa , kina nani wataweza kujimudu kuishi wenyewe? Maana haya matusi tumeyachoka toka kwa wanaume
 
Hivi siku tuamke Mungu katenganisha wanaume na wanawake na wote muwe na afya njema kabisa , kina nani wataweza kujimudu kuishi wenyewe? Maana haya matusi tumeyachoka toka kwa wanaume
Sasa tukitenganishwa hela ya makusanyo ya michezo ya 3000 kila siku na kununua iphone mtaipata wapi. Nyie tulieni na tamaa zenu muendelee kuzibuliwa mitaro, hatenganishwi mtu hapa.
 
Sasa tukitenganishwa hela ya makusanyo ya michezo ya 3000 kila siku na kununua iphone mtaipata wapi. Nyie tulieni na tamaa zenu muendelee kuzibuliwa mitaro, hatenganishwi mtu hapa.
Mitaro hata wanaume wanazibuliwa tena wengi sana siku hizi
 
Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja",

Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa 😂😂😂",

Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu Wangekuwa Mabilionea Maana Na Wao Ni Wanaume".
Nawashangaa sana hawa wadada, eti mtu anataka mwanaume mwenye hela wakati yeye hana lolote la kutoa kwenye hayo mahusiano. Hivi ukishamtomba mwanamke ana faida gani tena zaidi ya hap?
 
Tatizo siyo wao ni nyie wanaume mnapanda dau kubwa halafu unakutana na bwawa la mindu ama j puya bila kusahau gono ama viviu.

They know your weaknesses and have general strategies to win you even before using your joy stick 🏒

Mnalipia bidhaa bila kuiona ama kuonja, no 🎤 mic testing, tuseme unauziwa paka kwenye gunia
Kuwa jinsia yako tafadhari, ID me, uandishi Ke
 
Back
Top Bottom