Hamissi Hamza Jr
Senior Member
- Apr 16, 2020
- 103
- 209
Kumbe mnatuolea uchi tuMungu akiziba uchi wa mwanamke hakuna kitu anaweza offer kwenye relationship
πππ Wao hawajui hayo kwamba Kuna Maisha Baada ya kushuka kitandani.Mungu akiziba uchi wa mwanamke hakuna kitu anaweza offer kwenye relationship
ππππ acha izo mbona jf wakina dada bikira wapo kibaoBoraaaaa wajueee ukwelii ,pesaa imekuwa ngumu kuliko kupata bikraa Kwa madem wa JfView attachment 3237226
Achaaa bhanaaaa dhambiiiπππππππ acha izo mbona jf wakina dada bikira wapo kibao
Sasa unafikiri pilika pilika za kuhonga na kuhudumia end game yake ni nini?Kumbe mnatuolea uchi tu
Hakuna Mwanaume Anaejielewa anaeoa Mwanamke kwasababu ya uchi Pekee.Kumbe mnatuolea uchi tu
OkayHakuna Mwanaume Anaejielewa anaeoa Mwanamke kwasababu ya uchi Pekee.
Kuna Maisha Baada ya Usiku.
Tatizo siyo wao ni nyie wanaume mnapanda dau kubwa halafu unakutana na bwawa la mindu ama puya bila kusahau gono ama viviu.Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja",
Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa πππ",
Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu Wangekuwa Mabilionea Maana Na Wao Ni Wanaume".
Kuna hii michezo ya elfu 2-3 kila siku na mikopo ya hivi vimicro finance vya mtaani, ni ngumu sana kukuta mdada wa mjini hajihusishi na hivyo vitu viwili na unakuta hana kipato chochote mpango wa makusanyo ni mizinga na kudangaUsidate na mwanamke aliekuzidi shida.
Otherwise Ni mtamu sn kama MAMAjπ
HeheheWadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja",
Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa πππ",
Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu Wangekuwa Mabilionea Maana Na Wao Ni Wanaume".
Tusipochukua hatuaπ€£π€£Kuna Vita kubwa sna kati ya jinsia hizi mbili.
Huko mbele ni kulipiana visasi na kuuana.
Watoto wa 2000 wanagandwa kila siku yaani kila siku watu wanafika dau,(wanapanda dau)Tusipochukua hatuaπ€£π€£