Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

Kuna Vita kubwa sna kati ya jinsia hizi mbili.
Huko mbele ni kulipiana visasi na kuuana.
Hii vita ni nzito sana kwa kweli wanawake wamewasakama vijana ambao haaajajipata watafute hela vijana nao wamekuja na comeback ya purity ya mwanamke.

The game is brutal but still fair
 
Hivi siku tuamke Mungu katenganisha wanaume na wanawake na wote muwe na afya njema kabisa , kina nani wataweza kujimudu kuishi wenyewe? Maana haya matusi tumeyachoka toka kwa wanaume
 
Hivi siku tuamke Mungu katenganisha wanaume na wanawake na wote muwe na afya njema kabisa , kina nani wataweza kujimudu kuishi wenyewe? Maana haya matusi tumeyachoka toka kwa wanaume
Sasa tukitenganishwa hela ya makusanyo ya michezo ya 3000 kila siku na kununua iphone mtaipata wapi. Nyie tulieni na tamaa zenu muendelee kuzibuliwa mitaro, hatenganishwi mtu hapa.
 
Sasa tukitenganishwa hela ya makusanyo ya michezo ya 3000 kila siku na kununua iphone mtaipata wapi. Nyie tulieni na tamaa zenu muendelee kuzibuliwa mitaro, hatenganishwi mtu hapa.
Mitaro hata wanaume wanazibuliwa tena wengi sana siku hizi
 
Nawashangaa sana hawa wadada, eti mtu anataka mwanaume mwenye hela wakati yeye hana lolote la kutoa kwenye hayo mahusiano. Hivi ukishamtomba mwanamke ana faida gani tena zaidi ya hap?
 
Kuwa jinsia yako tafadhari, ID me, uandishi Ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…