Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

Mnawaonea sana watoto wa 2000. Hili suala la wadada kupenda matajiri lipo tangu enzi za mwalimu. Waulizeni wazazi wenu.
 
Wamepumbazwa na mambo ambayo wakina jux na harmonize wanawafanyia mademu zao mtandaoni. Hawajui kama wale ni wasanii na wanachokifanya ndio usanii wenyewe
Wamepumbazwa Sana na wasanii kibaya Zaidi hawajui wengine wanafake maisha.
 
Hivi siku tuamke Mungu katenganisha wanaume na wanawake na wote muwe na afya njema kabisa , kina nani wataweza kujimudu kuishi wenyewe? Maana haya matusi tumeyachoka toka kwa wanaume
Hakuna Mwanamke anaweza kuishi bila Mwanaume,ila kuna Wanaume wanaweza kuishi bila Wanawake.
 
Mnawaonea sana watoto wa 2000. Hili suala la wadada kupenda matajiri lipo tangu enzi za mwalimu. Waulizeni wazazi wenu
Aaah wapi,alafu uelewe utajiri wa Miaka 60 Ni tofauti Sasa Kipindi kile walipima utajiri kwa mazao unayoivisha shambani.
 
Wapo sawa kabisa , hata mimi binti yangu akiniletea mkwe maskini nitamsikitikia sana japo sitawaingilia maamuzi yao.
 
Utajiri ni utajiri tu. Kwa wakati huo ulikuwa ni utajiri wa maana
Ni Kweli Ila Wadada Wa kipindi hicho hawakua matepeliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo acha kuwalinganisha Wanawake wa kipindi hicho na Vitu vya ajabu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…