Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

Kataa Mahusiano Ni Utapeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uko Sahihi Lakini Hakikisha Na Wewe Una Hela,
Sikuhiz Wazazi Wanataka wakwe wenye hela na sisi tunataka wakwe wenye hela Yaani hela na hela Zijenge ukoo mpya.
Unataka nimwachie binti yangu mali ambazo zitakuja simamiwa na mtu maskini? Huwa mnautukuza sana umaskini as if ni kitu kizuri , hata kama hauna pesa hakuna mzazi atakae penda kuona mtoto wake anateseka kama yeye.
 
Sasa demi miaka ya 1995-2016 uhuru wa manyani ulikuwa mkubwa kuanzia rais hadi Balozi wa nyumba kumi which mtu kuhonga nyumba poa tu watu enz hzo. Wanapush madawa silk poa na sheria sio kali kama Leo hii
Wanaume wa zamani walikuwa wana honga nyumba na magari na hawajawahi kulalamika kwamba wanatapeliwa. Ila wa siku hizi akikupa 20,000 halafu ukamuacha lazima aje kukufungulia uzi umemtapeli.
 
Unataka nimwachie binti yangu mali ambazo zitakuja simamiwa na mtu maskini? Huwa mnautukuza sana umaskini as if ni kitu kizuri , hata kama hauna pesa hakuna mzazi atakae penda kuona mtoto wake anateseka kama yeye.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuwa Mpole me sjawahi kuwa maskini sema sina hela tu.
Na uhakika miaka michache ijayo ntakuwa rich Forever.
 
Unataka nimwachie binti yangu mali ambazo zitakuja simamiwa na mtu maskini? Huwa mnautukuza sana umaskini as if ni kitu kizuri , hata kama hauna pesa hakuna mzazi atakae penda kuona mtoto wake anateseka kama yeye.
Baba mkwe 😝Nina milion 3 mahari nataka nije tufanye utaratibu
 
Sasa demi miaka ya 1995-2016 uhuru wa manyani ulikuwa mkubwa kuanzia rais hadi Balozi wa nyumba kumi which mtu kuhonga nyumba poa tu watu enz hzo. Wanapush madawa silk poa na sheria sio kali kama Leo hii
Nakubali. Kwahiyo haya malalamiko ya kutapeliwa ni kwamba hawana pesa, wanapesa za mawazo.
Hayo ni mambonya kawaida, ukitaka unatoa usipotaka hutoi. Sidhani kama kuna aliyeshikiwa bunduki atoe.
 
Lazima utakua umekulia mji kasoro meli wewe,Mindu tena?,🀣🀣🀣
 
Hivi siku tuamke Mungu katenganisha wanaume na wanawake na wote muwe na afya njema kabisa , kina nani wataweza kujimudu kuishi wenyewe? Maana haya matusi tumeyachoka toka kwa wanaume
Halafu aking'oe hicho kidude chenu halafu mfano muwe mnakojolea kwenye masikio badala ya hapo?

Akifanya hivyo mtalia sana aiseee,🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nakubali. Kwahiyo haya malalamiko ya kutapeliwa ni kwamba hawana pesa, wanapesa za mawazo.
Hayo ni mambonya kawaida, ukitaka unatoa usipotaka hutoi. Sidhani kama kuna aliyeshikiwa bunduki atoe.
Sasa mbususu zenye we zinazotolewa hela unakuta ni kama nguzo za tanesco. Kila mtu akijenga nyumba anavuta umeme kwenye hiyo nguzo full kushare
 
Sana aise kuna tatizo kubwa sana la tamaa kwenye kizazi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…