Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

Lete takwimu verified ya hizo data. Maana nawajua wengi wa miaka hiyo wenye watoto
 
Kabisa mkuu
Huu wa siku hizi hautishi kama zamani
 
Watoto wa 2000 wengi wamelelewa kimayai. Wana urithi nyumbani.. wamekuta wazazi wanalipwa mishahara mizuri. Hivyo wanapeana mimba tu na kuzaa maana wazazi wanawasaidia kulea

Pia hawaogopi ukimwi maana hawahawai kuuona unavyotesa watu
 
Hii tafiti itakuwa ya ukoo wenu.
 
niukweli mtupu yani saizi unakuta kijana anamiaka 22 anafamilia mi naona sababu kubwa ni utandawazi dunia imebadilika watoto wanashika mkwanja wakiwa bado wadogo mfano bodaboda wengi vijana starehe yao ndo iyo ngono zembe na vibinti vya saizi vinapenda dezo vizinga vingi.
 
BInti wa 2000 sasa hivi ana miaka 24. Ni muda sahihi wa kupata mtoto.
Hata zamani mabinti tulikuwa tunawahi kupata watoto sijui kwanini sasa hivi inaonekana ni jambo la ajabu.

Binafsi nilipata mtoto nikiwa na miaka 24. Nahisi speed zangu zilifanana na hawa wa 2000
 
kweli
 
Mimi sioni shida wao kuwa na watoto.
Mtoto aliyezaliwa 2000 sasa ana miaka 24 huyo ni mtu mzima kabisa.
Na sisi wa miaka hiyo 1995 wengi wetu waoga ila ukija kwenye maisha bado hali ni mbaya vile vile Hakuna hata utofauti.
Mimi mwenyew nikipata mtu sahiv nataka mtoto nimeona zile stori sijui nkitboa ndo niwe na mtoto kihalisia hakuna na umri unazidi kwenda.
Vijana wa miaka hiyo ni Choka mbaya wengi wetu.
 
Watoto wa 2000 wengi wamelelewa kimayai. Wana urithi nyumbani.. wamekuta wazazi wanalipwa mishahara mizuri. Hivyo wanapeana mimba tu na kuzaa maana wazazi wanawasaidia kulea

Pia hawaogopi ukimwi maana hawahawai kuuona unavyotesa watu
Kuna uhalisia sana kwenye hii comment yako
 
Je Kama mnasema kizazi cha 95 -99 wapo broke vipi hao wa 2000 je wapo financial stable ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…