kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Absolutely true
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete takwimu verified ya hizo data. Maana nawajua wengi wa miaka hiyo wenye watotoSijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote.
Cha ajabu wako watoto wengi wa 99,2000,2001,2002 ukikutana nao wana watoto binafsi me nimeligindua hilo.
Cha ajabu
Kabisa mkuuUmeongea kweli tupu
Binafsi nimeshuhudia jinji ukimwi ule ambao unanyonyoa nywele, utando mweupe mdomoni makovu mwili mzima, kikonda na kupaki kilo chini ya 20 hakika wagonjwa wa ukimwi walitisha sana.
Ilikua akilala kitandani unaona fuvu la kichwa tu. Nakumbuka mwalimu wangu wa hisabati nilimshuudia akiangushea na upepo hapo alikua amefika ile stage hawezi kuvaa viatu wala suruali anajifunga kanga tu kama mwanamke miezi miwili baada ya kuangushwa na upepo alifariki dunia.
Kwa matukio hayo ukiiona mbunye halafu ukakumbuka taswira ya mgonjwa wa ukimwi stimu zinakata kabisa
Hii tafiti itakuwa ya ukoo wenu.Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote.
Cha ajabu wako watoto wengi wa 99,2000,2001,2002 ukikutana nao wana watoto binafsi me nimeligindua hilo.
Cha ajabu
Mi piaSikupingi na hili. Ni kitu nimekiona personally
kweliBInti wa 2000 sasa hivi ana miaka 24. Ni muda sahihi wa kupata mtoto.
Hata zamani mabinti tulikuwa tunawahi kupata watoto sijui kwanini sasa hivi inaonekana ni jambo la ajabu.
Binafsi nilipata mtoto nikiwa na miaka 24. Nahisi speed zangu ziliafanana na hawa wa 2000
Kuna uhalisia sana kwenye hii comment yakoWatoto wa 2000 wengi wamelelewa kimayai. Wana urithi nyumbani.. wamekuta wazazi wanalipwa mishahara mizuri. Hivyo wanapeana mimba tu na kuzaa maana wazazi wanawasaidia kulea
Pia hawaogopi ukimwi maana hawahawai kuuona unavyotesa watu
Umeongea kweli etKizazi hicho kina stress sana na ndio cha kwanza kukata tamaa haswa kwa waliosoma .
.Wengi wamekosa ajira na kupoteza muelekeo.