Watoto wa IGP Sirro nani anawafahamu? Tabia zao zikoje?

Watoto wa IGP Sirro nani anawafahamu? Tabia zao zikoje?

Sisi wenye blue tick tunaruhusiwa kukoment kwenye mada tata kama hizi?
 
Isiwe yeye kuwasema wenzake tu! Ni vema ambao wamebahatika kuishi na watoto wa Sirro watupe nyepesinyepesi au nyeti nyeti kuhusu hao watoto. Kuna siku alionekana km vile anawanadi kwenye tukio la harusi - je mpaka anawanadi ni wameshindikana na hawaonwi na waoaji ama?
Mmoja alisoma na mwanangu nyegezi seminary na wote wakafukuzwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sisi ambao tumesoma na watoto wa Siro shule ya Msingi hatujawahi kuona mtoto wa Siro mwenye tabia hizi tangu enzi zile Siro anamiliki Tongori trans mpaka sasa huwa tupo nao kwenye magroup ya shule na hizi tabia mnazozisema sidhani
 
Back
Top Bottom