Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kama anaokotwa atakuwa kasalimika kuliwa "jicho"? maana kwa ulevi huo watu wanajisevia kiroho safi.Kuna mmoja katajwa kuwa mlevi na anaokotwa kwenye mitaro mara kwa mara huko Chanika , kuna uzi humuhumu jf umechambua jambo hilo