Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana?

Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga kimya wakasubiri nipite!

Yule dogo nimemuonea wivu aisee🤣🤣 kibinti kama kile kizur vile na kinaleta ushirikiano huku kimevaa juba

Huu utaratbu mbaya sana usiruhusu mtoto wako na wenzake au mke aende msikitini usiku kipindi hichi
 
Kule kwenye ardhi iliyozungukwa na maji, mchana mitaani na mjini kumepoa... Wanakwambia wale wengine wamevuka maji ndio maana kupo hivyo... ila kiukweli na kiuhalisia watoto wa kule ndio wanaongoza kwa kuzurura, sema tu huu mfungo ndio maana
 
Hii kama point, na WA kule ukikuta kadata NI kadata kweli SIO mchezo
 
Ila kwa upande mwingine naona si sahihi kuwa ruhusu watoto kutoka wenyewe usiku.

Hilo suala la kuswali wana weza tekeleza mchana au jioni, usiku una mambo mengi usalama sio rafiki kabisa.
 
Back
Top Bottom