Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

Ulikua wapi siku za krbn mpka kibarazani kwako nikaja lakn holaa


Aahahahaa nilikuwa kibaraza cha uani nasugua miguu.

Ungeniulizia kwa jirani... japo huwa hatutoi taarifa za mmoja wetu, tuliambiana mtu akija kuuliza mmojawetu kuhusu jirani yako yukwapi tuseme hatujui.
 
Hawa WA hivi hawaelewagi, utamuelewesha Hadi uchoke!
 
Kwenye Dini yetu ya kiislam .. inapendeza zaidi wanawake wakafanya ibada nyumbani na imesisitizwa wanaume kufanya ibada msikitini... Kwa ufupi wanawake hawajashurutishwa kwenda msikitini bali inapendeza zaidi wakifanyia ibada nyumbani..kuna hekima kubwa sana ndani yake ..moja wapo ni kama tukio ilishuhudia kama ni kweli
 
Nimeshuhudia KWELI
 
Tembeza rungu Komredi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…