Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

Ulikua wapi siku za krbn mpka kibarazani kwako nikaja lakn holaa

Aahahahaa nilikuwa kibaraza cha uani nasugua miguu.

Ungeniulizia kwa jirani... japo huwa hatutoi taarifa za mmoja wetu, tuliambiana mtu akija kuuliza mmojawetu kuhusu jirani yako yukwapi tuseme hatujui.
 
waislam watu wa hovyo , mnalea matatizo sana kwa kuzia watu wasiyaweke wazi , hao watoto wenu wanaharibiwa mti anawaonesha nyiny mnasema anachafua uislam

UISLAM BORA NI WENYE UCHAFU KAMA HUO ?

EBU BADILIKENI , TUNAHITAJ JAMII BORA BILA KUJALI DINI , SIO KILA MUDA MNAWEZA DHANA ZA UDINI
Hawa WA hivi hawaelewagi, utamuelewesha Hadi uchoke!
 
Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana?

Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga kimya wakasubiri nipite!

Yule dogo nimemuonea wivu aisee🤣🤣 kibinti kama kile kizur vile na kinaleta ushirikiano huku kimevaa juba

Huu utaratbu mbaya sana usiruhusu mtoto wako na wenzake au mke aende msikitini usiku kipindi hichi
Kwenye Dini yetu ya kiislam .. inapendeza zaidi wanawake wakafanya ibada nyumbani na imesisitizwa wanaume kufanya ibada msikitini... Kwa ufupi wanawake hawajashurutishwa kwenda msikitini bali inapendeza zaidi wakifanyia ibada nyumbani..kuna hekima kubwa sana ndani yake ..moja wapo ni kama tukio ilishuhudia kama ni kweli
 
Nimeshuhudia KWELI
 
Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana?

Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga kimya wakasubiri nipite!

Yule dogo nimemuonea wivu aisee🤣🤣 kibinti kama kile kizur vile na kinaleta ushirikiano huku kimevaa juba

Huu utaratbu mbaya sana usiruhusu mtoto wako na wenzake au mke aende msikitini usiku kipindi hichi
Tembeza rungu Komredi
 
Back
Top Bottom