[emoji3][emoji3]naona bado hujaridhika umekuja kunikandamiza Tena
Kuna mazingira yanakulazimu unyandue ila sio necessary sometimes.....
Natolea mfano..
Kuna siku nimekaa dukani akaja bwana mdogo mmoja rafiki yangu na Ni mdogo angu pia ananambia bro Nina kipengele (pisi) ila nyumbani mazingira hayaRuhusu
Naomba nipe funguo za nyumba nikanyanduane[emoji3][emoji3]
Nikamwambia freshi ila hakikisha anapika. nikampa na pesa akanunue kilo ya nyama.
Baada ya muda dogo alirejea akasema bro huwezi amini pisi imekuja na Dada yake inasema haiwez kukaa mbali na Dada yake kwahio nimemleta yupo sebuleni na Hana kampani ikiwezekana twende.
Basi nikaangalia Hali ya hewa ilikua Ni wingu zito linaloashiria mvua kubwa muda mfupi ujao, nikaona isiwe kesi twende tu nikaegesha mlango wa goli tukaenda nyumbani
Kufika namkuta huyo Dada.
Sio kinyonge alikua mzuri, Mali standard kabisa kwa vipimo vya standard deviation.
Mvua ilinyesha kubwa Sana mpaka saa nne usiku Hadi ikawapelekea wao kushinda kurudi kwao maana.
Dogo aliondoka na pisi yake nami nikabaki na Dada mtu na nikamgegeda
[emoji3]Sasa ata ungekua wewe unatoa hifadhi hivi hivi?
[emoji1787]Ata manzi mda mwingine ukimsaidia bila kumgegeda anakuona kanjanja
[emoji41]