Watoto wa kike wanapitia changamoto nyingi sana

umaskini ni ugonjwa mbaya sana
 
Ulijitahidi sana,hongera
 
Huyo binti ana wezere au hana?
 
Kama wana vitu maalum unategemea visiliwe? mibaba mijitu mizima tena ndio mambo zao wanakula vitoto vidogoooooo yaani balaa na nusu
 
Ila imefika hatua pia kuna baadhi ya Ke wamekariri au wamekua na ile ukimsaidia anahisi unampenda anaweka mazingira mwenyewe ya kuliwa, na sisi hatunaga ujanja mbele ya mbususu
 
 
wanawake hawafanyiwi hayo kikatili bali ni hiari yao!

yaani ukimsaidia mwanamke, haamini kwamba umetoa msaada yeye anahisi umempenda[emoji4]

hili limekaa kisaikolojia sana, lakini mungu katujaalia watu kama ROBERT HERIEL, kina keisangora, ili watusaidie mambo kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…