Nenda Tanga kama TangaDaaah aiseee ngoja kwanza.
Nina mpango huoo ila mpaka niwe na uhakika wa sehemu ya tukio ukiacha zile zinazo zoeleka..
Ila soon as possible ππππ
""Ruqaiya soon as possible """
Hamna ni safari tu nayeye alinisupport vizuri tu nio ndoke,namtafuta japo nirudishe fadhila.ππ, Kwa nini ulimpoteza kizembe mkuu??, njoo tanga utafute pisi nyingine, maana kila Kukicha mambo ndo yanachemka Zaidi.
Hapana Hapana ngoja ni deal na wa huku huku ambao wametokea tanga ππππππππππNenda Tanga kama Tanga
Kuna pisi ni nzuri alafu ni kali, yaani pisi kali kalio.Kuna mdada nlipanda nae Bajaj...aisee yule hata demu wangu akimuona tu atanambia Mpaji Mungu mfanye yule demu kua mchepuko wakoπ€
Maua hayo...Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale π€, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko π, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-
|β’ Ni weupe hata kama atakuwa na rangi nyeusi/majikunde lakini ngozi yake ipo mithiri ya mtu aliyejipaka mafuta ya mnyonyo.
||β’ Miili yao imekaa umbo la nyigu, kwa mwanaume aliye kamilika hawezi kuishiwa hamu ya kulamba buyu la asali.
|||β’ Siyo wachoyo, roho zao zimeumbwa kwa ajili ya kuwasaidia wanaume waliopatwa na kiu ya maji, hasa pale wakiwa katika hali ya kijangwa.
|Vβ’ Wakitembea barabarani mijusi na baadhi ya wadudu hutingishika huko maporini.
β¦β¦Mda wa kukaa Tanga umeisha, najisikia vibaya sana kuondoka hili jiji. π€π€π€.
View attachment 2911282View attachment 2911284View attachment 2911286View attachment 2911289
Kaka achana hao kuna hawa wanaojifunika mwili mzima, ni wazuri mno.Ni ujinga wa hali ya juu, mkuu ona hii sample View attachment 2911316
Sawa pia ila maumivu yakizidi kamuone daktari.Hapana Hapana ngoja ni deal na wa huku huku ambao wametokea tanga ππππππππππ
Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale π€, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko π, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-
|β’ Ni weupe hata kama atakuwa na rangi nyeusi/majikunde lakini ngozi yake ipo mithiri ya mtu aliyejipaka mafuta ya mnyonyo.
||β’ Miili yao imekaa umbo la nyigu, kwa mwanaume aliye kamilika hawezi kuishiwa hamu ya kulamba buyu la asali.
|||β’ Siyo wachoyo, roho zao zimeumbwa kwa ajili ya kuwasaidia wanaume waliopatwa na kiu ya maji, hasa pale wakiwa katika hali ya kijangwa.
|Vβ’ Wakitembea barabarani mijusi na baadhi ya wadudu hutingishika huko maporini.
β¦β¦Mda wa kukaa Tanga umeisha, najisikia vibaya sana kuondoka hili jiji. π€π€π€.
View attachment 2911282View attachment 2911284View attachment 2911286View attachment 2911289
Tanga paacheni jamanii ooohππ, mkuu angalia usije uza makaburi ya urithi ili upate nauli ya kuludi tanga tena.
Love you moreππKwedikwanzu mojaπ
βΊοΈβΊοΈUna badilika kama kinyonga yaaniLove you moreππ
Kwanini??, Lini jamani!!βΊοΈβΊοΈUna badilika kama kinyonga yaani