Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Alikuwa ana haki ya kufilisika afu lingine la kuchunga mwanaume ukilogewa na limbwata la tanga hutokiiii.

Wanawake wa tanga wana limbwata lakukugeuza zezeta kama mwanaume utakuwa hutoi mahaba ipasavyo na si pesa bali mahaba.
Nasikia dawa zao ni kali sana, hata kama unafamilia unaweza itupupilia mbali kabisa....
 
1.kwamba weupe...hiiinadhihirisha mtu mweus mwenyew hapend ngoz nyeus..halaf anafosi mzungu au muhind kuipenda ngoz nyesi.[emoji16]

Wanapaka makeup za rang ya uzungu kidogo wawe weupe

Wengne wakijichubua na kuvaa mawigi just kufanana na mywele za kizungu.

Kwel ngoz nyeus tuna laana.
 
Tanga ni mwisho wa matatizo katika mambo ya mahaba.

Soma visa vyao humu:

 
Hilo jina sio geni, alikuwa anaishi wapi?
 
Uliwezaje kuchomokas? Kweli wanapiga miguubyote? Shida moha tu..uvivu kufanya kazi wao wanasubiri ulete pesa tuu ndanii mmmmm saaa hao wafaa kuwa wake?
Sasa unataka mwanamke akupe mautundu yote hayo halafu bado atafute pesa, acheni kuwatwisha wanawake majukumu mengi, chagueni moja mpewe mautundu au msaidiwe kutafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…