Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Mkuu nimewahi kuwa na mtoto wa kitanga, fatma. Mkuu ni msafi, ananukia, anayajua, mkarimu, sauti sasa, kanajua kudeka hatari. Daah mtoto fatma popote ulipo nakupa maua yako
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, Hapa najiuliza kwa nini bado ni Tajiri.. Maana wengi wakipitia hiki kikombe hufilisika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…