Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Ikatokea skendo ya kufumaniwa kwa Mercy (Mambise) na kupigwa mtungo mixer kisamvu na wahuni wa mwenye mme ( mudi utaua)


Hivi ile Mudy utaua ilikua clip ya huyo demu?
 
Ulivyotaija BRAC nikakumbuka kuna dada nilionana nae aliniambia anafanya kazi kwenye hio taasisi ila kwao ni Mbuguni kijiji kimoja na Mambise
 
Maelezo yamejitosheleza mkuu, Sina shaka kabisa huyo mtoto tayari umemtafuna. Nakuja inbox mkuu πŸ˜‹
 
tena ukute anaevalia ushanga halafu anamauno feni unaweza ukajikuta soda unatamka choda na maji mma!..

kuna siku shetani mimi abdala kichwa wazi wangu alishawahi kunasa kwenye mishanga ya lishangazi lakitanga!.watoto watamu sana wale.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu, embu nipe ABC za hapo Tanga, nawaza niende huko next week kutembea kama week hivi.
Mkuu,
β€’ Tanga ni pazuri hasa kwa upande wa mademu,
β€’ ni jiji tulivu vibaka ni chache sana,
β€’ Ukipenda kulelewa, utalelewa
β€’ Vyakula vyao ni samaki, mchunga(sungasunga), pamoja na matunda ya porini wengi huita ndura
β€’ Wanapenda kufuga mamba kishirikina kwenye mabwawa/mito, mamba kame hawezi kamata mwenyeji, ila mgeni dakika chache umeenda, ( hivyo unashauriwa mgeni usipende sana kwenda kuzuru kwenye mabwawa hasa maeneo ya korogwe)
β€’ Watoto wa kike wanapenda sana kuroga hasa wakigundua una kaukwasi.
β€’ Siyo wachoyo kwenye mbususu
β€’ Mapapi/mabwabwa ni wengi sana
β€’ Hali ya hewa ni joto sana kwa sasa
β€’ ni wavivu kufanya kazi ngumu
β€’ Ni jiji ambalo linazidi kutawaliwa na watu wa nyanda za juu kusini( ambao wamejikita zaidi kwenye kilimo cha mahindi, katani, machungwa na mpunga kiasi.
 
Wahaya umewasahau mzee Hawa wanajua sana mahaba

Wapema maua Yao Yenye hadhi ya nyota tano [emoji3590]
πŸ˜€, sina uzeofu nao mkuu, ingawa nilimpata mhaya moja hivi, but sikum***mba... Alikuwa anajisifia sana, kuwa atanilowanisha mwili mzima na maji ya BARAKA.
 
[emoji3], sina uzeofu nao mkuu, ingawa nilimpata mhaya moja hivi, but sikum***mba... Alikuwa anajisifia sana, kuwa atanilowanisha mwili mzima na maji ya BARAKA.
lahaulah laqwata maji hadhim hayo
ukaribie kukojoa hlf nayeye ayafungulie balaa lake sio la hapa maana yana kajoto flani ameizing vile
 
mkuu uko kuroga inakuwaje?
kwa mfano mtu kakuroga kinatokea nn? unakuwa unampa sana ela yey au unampenda yeye sana au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…