atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ikatokea skendo ya kufumaniwa kwa Mercy (Mambise) na kupigwa mtungo mixer kisamvu na wahuni wa mwenye mme ( mudi utaua)Hahahah, Mercy ni muajiriwa wa taasisi moja inaitwa BRAC,alikuja Tanga 2018 enzi hizo kamaliza chuo,alikua hana jina akaanza kudate na msela Mwalimu wa shule. Baadae akapata jina akaanza kula masafa.
Mdogo wake alikua bado chuo ila Dada yake ndio akazidi kua famous na kula ruti za vichwa.
Ikatokea skendo ya kufumaniwa kwa Mercy (Mambise) na kupigwa mtungo mixer kisamvu na wahuni wa mwenye mme ( mudi utaua)
Akahama Wilaya ila alikua tayari famous Dar na mikoa mingine hapo anakaa Tanga, weekend anaenda kwa vibopa. Hatimae akahama na mkoa.
Infact mtu poa sana mkielewana ila mmeru yule hela mbele,mzungu wa roho haswaa,no wonder yeye na mdogo wake wanajitahidi kwenye biashara,ni watafutaji haswaa, waweza sema wadangaji ila Wana akili na huenda miaka kadhaa mbele watakua na kipato kizuri sana Mungu akiwazidishia barka..
Ukitaka namba njoo inbox
Hivi ile Mudy utaua ilikua clip ya huyo demu?