Watoto wa Mjini Dar

yuko oslo NORWAY

anaitwa SLIM ABEID SLIM

alikuwa mwenye SWAHILI FOOD RESTAURANT

na pia alikuwa ni INTERIOR DECORATOR


ana binti wake anaitwa SABRINA


Lete story


Ok ,hii njema kwake,i wish the worse to him yeye na Chindakta Haule (Chicki) kama (unamfahamu)
Nita ku PM nilifanya nao biashara hao jamaa wakanipiga
 
jamani Abdallah Rich mwamjua,beach watu walikuwa wanamuogopa,eti polisi wengine wasema si rizki. je DULA joban mwamjua mtu wa kwanza kuingiza bwimbwi zanzibar
 
Mbona unapoteza muda mwenke kwenye IGNORE LIST

Naona kama anachokorachokora maneno vile....maana nimetoka kwenye moja jana tu mbichii ikapelekea mama kufungiwa sasa siko kwenye mood ya ubishi ndio maana nimedondokea huku ili nipate michapo....
MWK kama una cha kuchangia changia, kama huna ione thread hii kama nyingine tu, pitilizaaaa...
 

Asante mkuu... tumeelewana kwa hili.

Endeleza mchango wako na story za Dar (naona GT anasema hii thread ni kwa ajili ya story za mabaharia sasa hivi) hayo mengine kutoka kwa GT ni ya kawaida na huwa yanategemewa. Msimamo wake kuhusu baadhi ya members hapa uko wazi sana hapa na mimi of all members hapa sitamuacha aendeleza dharau zake hapa.

Again...no hard feelings with you...

Asante
 
GT,

Nilikua naongea na Hussein Pepe kale,aliniambia jamaa yuko jela Dubai sasa wewe unanishangaza
 

Nakushukuru sana kwa kuelewana na mimi katika hili bila ya ubishi......tukikutana sehemu nyingine katika mijadala mingine tutajadili tu haina mbaya....wasalimie...
 

So far ninaona kuna mengi sana ya kuchangia kwenye hii thread... Ndio mwanzo nimeamka na nina siku ndefu sana ya kuwa hapa. Kuhusu kufungiwa wala usiwe na wasiwasi, mie sijawahi kufungiwa hapa JF maana sijawahi hata siku moja kutoa matusi. Kama mama alifungiwa jana, usitegemee the same fate kwangu.

It aint gonna happen.... the best you can do ni "kuni-ignore" kama GT na kisha uingie kwa jina lingine (kama yale mengine ya GT) na uendelee haya mazungumzo na mimi.
 
Nishaanza kuchemka

hivi kuna mtu ana matokeo ya GAMES za leo?
 
Nishaanza kuchemka

hivi kuna mtu ana matokeo ya GAMES za leo?

Re: Chelsea vs Arsenal Nov 30

--------------------------------------------------------------------------------

Arsenal walijifunga wenyewe goli dakika ya 30, makosa ya kipa kwa kucheza na shilingi chooni. Arsenal wameelemewa wanakimbiakimbia tu au kusimama na kungoja kureact kwa mashambulizi ya Chelsea. Ni halftime sasa kama hawakubadili uchezaji wao kipindi cha pili basi si ajabu tukatundikwa 3 au hata 4.
__________________
I will die poor rather than stealing from Tanzanians through fake contracts and dubious ownership of Tanzanians' Natural Resources

kwa hisani ya BUBU ANATAKA KUSEMA
 

GT,hii imekaaje,KUMBE wewe una majina mengine? this is news
 
GT,mimi nilifikiri watu wenye majina mengi humu,ni wale wenye tongotongo,sasa how come!!!!! please deny kauli ya MWK
 
Miss-girl,

you are locking the boat

Neah,

I wouldnt do that .... lock the boat?
well, if that's case here then..... I will take a time out... 20 min?

I will let you guys rock this boat....
BUT.... as far as GT is concerned..... Mimi na yeye tu mpaka kieleweke.
 

Costa namkumbuka.

Nilikutana na mdogo wake Himidi, anaitwa Ahmed, mwaka jana kama sikosei. Nafikiri anaishi NY. Halafu walikuwa na dada yao aitwaye Kulthum alikuwa na utege fulani hivi. Mh mh...unamkumbuka?

Hivi unajua mdogo wake na Machupa (Chipeta) walimpiga shaba Sauzi? Hii inanikumbusha kuna dogo mmoja hivi aitwaye Ilamenya. Huyu dogo aliuzaga Pick-up ya dingi yake na akazamia Sauzi. Mshikaji alivyorudi, alikuwa na grill mdomo mzima. Basi alikuwa anakenua meno muda wote, kama mwehu, ili watu waone grill zake. Nasikia mshikaji wali mgun down pia.

Halafu George Gordon yuko wapi siku hizi?

Yule magoti bubu alikuwaga bomba sana. Hivi unamkumbuka Jumanne (J), mdogo wake na Daruweshi? Huyu mshikaji alimaliza mambo kwa bubu kwa kumdanganya kuwa atampatia visa ya kwenda marekani. Nakumbuka mshikaji alichukuaga fomu za kuomba visa za marekani na kujaza info za yule magoti. Basi bubu kwa kutojua akadhani hiyo ndo visa yenyewe. Akasaula!

Halafu J alikuwa na uchungu na mtoni wakati wengi wetu tulikuwa hatuna hata wazo la kuanza. Nakumbuka mshikaji akiona pipa (hata kama ni Air Tanzania) angani alikuwa anachanganyikiwa. Kila siku alikuwa anasema "one day yes!" Basi tukawa tunamwambia aanze kutembea kwa miguu taratibu tu atafika...Pwani, Tanga, Arusha, Nairobi...mpaka atafika tu.... Ukweli ni kwamba, mshikaji alichangia kutuingizia vijana wengi, pale kijiweni business, idea ya kuja mtoni. Kila akija kijiweni ndio zilikuwa story zake. Matokeo yake wengi tukajawa na jazba na kutimua, halafu mshikaji akakwama Bongo. Anyway, tetesi ni kwamba siku hizi mshikaji ni jambazi la kutumia silaha.

Namkumbuka yule mnywaranda Dina. Duh alikuwa na kiuno cha dondora. Hata yule dada yake (mama bandora) alikuwa hivyo hivyo tu. Vipi Masha Makata unamkumbuka? Huyu dada we acha tu! Sijui yukowapisiku hizi? Halafu mama yake si ndo alikuwa Miss Tanzania wa kwanza kabisa (miaka ya 60?)
 

Huhh?!?!?! 😱😱
Vipi tena mbona tunapelekana huko tena......Mimi jina langu humu ndani ni Mwazange bin Mwazange...the only one....vipi tena mbona hayo....?
 
lazima nikusalute MWK,at a stroke umetutoa kwenye mada.kumbuka kuna thread ya arsenal na chelsea,mchango wako unaitajika huko pia
 
lazima nikusalute MWK,at a stroke umetutoa kwenye mada.kumbuka kuna thread ya arsenal na chelsea,mchango wako unaitajika huko pia
Kuna Kamanda kaifungua thread hiyo akitegemea Chelsea kushinda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…