johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nchi ni mali yao binafsiWatoto wa Mwinyi wametamalaki kwenye uongozi wa taifa hili
Walishagombea sn wakakosaKuna uwezekano kwao siasa sio kipaumbele kama ilivyo kwa hao wengine...
Walishagombea sn wakakosa
Ni muungo jina tu lenyewe linatosha kumpa ulajiMkuu mimi ninachoona kuna kugombea kihalali kama mtu mwingine asiye na wazazi wenye legacy, na kuna kugombea kwa kutumia nguvu ya mzazi...
Kuna watu waliotajwa na mleta mada hapo juu, bila kushikwa mkono na wazee wao leo hii wasingekuwa na nafasi za uongozi...
Kuna wakati nishawahi kusoma maandishi ya Le Mutuz, kuwa katika maisha yake hakuwahi kutegemea cheo cha baba yake kimpe ahueni ya mambo yake...
Watoto wa Mkapa unawajua mkuu?Mkuu mimi ninachoona kuna kugombea kihalali kama mtu mwingine asiye na wazazi wenye legacy, na kuna kugombea kwa kutumia nguvu ya mzazi...
Kuna watu waliotajwa na mleta mada hapo juu, bila kushikwa mkono na wazee wao leo hii wasingekuwa na nafasi za uongozi...
Kuna wakati nishawahi kusoma maandishi ya Le Mutuz, kuwa katika maisha yake hakuwahi kutegemea cheo cha baba yake kimpe ahueni ya mambo yake...
Wewe unawajua?Watoto wa Mkapa unawajua mkuu?
Ndio na mmoja ni katibu mkuuKuna mtoto wa Mkapa hapo bungeni?
YapWewe unawajua?
Cheo cha KM ni cha siasa? Katibu Mkuu anapanda kwa sifa zake ndiyo maana kule hakuna UVCCM
Kizazi cha akina Mwinyi wao ni kujazana ndani ya systemWazee hawa walioishi kwenye nadharia za ujamaa kindakindaki , hawakuwekeza zaidi kwenye elimu na urithi wa watoto wao. Mifano ni mingi hata Mwl hakuwekeza huko zaidi ya ikulu kuwabeba.
Rip. Mwele, nakumbuka kisa chake na marehemu Maghufuli
Watoto wa Mwinyi wametamalaki kwenye uongozi wa taifa hili
Yule Mkapa wa bungeni inasemekana wana kaudugu kwenye ukoo tu. Lkn siyo mtoto wa Mkapa. Labda kama mm ndiyo nimeingizwa chakaKuna mtoto wa Mkapa hapo bungeni?
Prof Kitila wa Chadema alipoteuliwa KM wizara ya maji alipanda kutokea wapi?Cheo cha KM ni cha siasa? Katibu Mkuu anapanda kwa sifa zake ndiyo maana kule hakuna UVCCM
Umenikumbusha Ndesamburo, Owenya na Kiwhelu hapo Ufipa!Kizazi cha akina Mwinyi wao ni kujazana ndani ya system