Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Rumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.

Hizo Rumours nilizisikiaga miaka kama 13 iliyopita, kuna dada mmoja hivi anaishi London ndio alikuwaga mtu wake wa karibu.

Huyo dada(wa London) ni tom boy flan hivi mnene mnene na mahipsi ya kufa mtu.

Wambeya wanadai kwamba mtajwa akiwa London huwa ana pika na kupakuwa kabisa kwa huyo tom boy.
 
Hawa watoto wa Mzee Mengi je Wana familia zao. Ila kwenye Msiba sjaona wakisema wajukuu wa Mzee Mengi. Au bado wote ni mabachelor
 
Baba zao walikua marafiki si MM jina lake. Hata yeye Baba yake ni mmoja wa ma director wa kwanza wa IPP. Ingawa ni marehemu lakini familia inapata share kila mwaka.
 
Baba zao walikua marafiki si MM jina lake. Hata yeye Baba yake ni mmoja wa ma director wa kwanza wa IPP. Ingawa ni marehemu lakini familia unapata share kila mwaka.

Aisee!

Kipindi namuona alikuwa hafanyi kazi, ila ana nyumba na gari, nikawa najiuliza kwa maisha ya London unawezaje kulipa nyumba, gari na kula bila kazi.


Salute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…