Ahahahahaha, mkuu utakuwa huwajua vizuri wewe. Ngona niishie hapa.
Alishastaafu, kwani unataka kusemaje sasa?
Picture pleaseWakubwa walioko hai ni wawili
Regina (anafuga dread hivi) ambaye ana manage EATV na EA radio,na Abdiel ambaye pia kama haijabadilika alikua ni moja ya wakurugenzi ndani ya the guardian,
Aliyefariki alikua Rodney Mutie (alikua mtu mwema pia) na ndio alikua mkuu wa Ea tv na radio.
Plus twins wa dada Klynn...
Mkuu werrason ngiama makanda hatutakuwa tuna ingilia privacy? manake hizi #cyber crime law zenu hataree[emoji23]Picture please
Kweli mkuu, thanks though.Mkuu werrason ngiama makanda hatutakuwa tuna ingilia privacy? manake hizi #cyber crime law zenu hataree[emoji23]
Hahahaha wameumia sana watoto wazuri wa mjini enzi zile.. Best yake alikuwa Kinje, watoto wa Academics pale wamepigwa sana tu
I know for a fact. an we wr kinda buddies wit him. Namkumbuka kwenye vikao vyetu vya jioni and I miss him. Hatukua marafiki na hatukujuana kiivo ila tukikutana tuliongea na tulikata hayo majina. ilikua ni bet. Ila hawa jamaa wako so discplined
RIP Mutie
Wanatumia majina gani insta niwacheck maana cwajuiWakubwa walioko hai ni wawili
Regina (anafuga dread hivi) ambaye ana manage EATV na EA radio,na Abdiel ambaye pia kama haijabadilika alikua ni moja ya wakurugenzi ndani ya the guardian,
Aliyefariki alikua Rodney Mutie (alikua mtu mwema pia) na ndio alikua mkuu wa Ea tv na radio.
Plus twins wa dada Klynn...
Kama namjua.sio yule mtu wa bukoba?maana aliwamaliza watoto wa tabata.Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hakuwa na majivuno kabisa, alikuwa mtu poa sana na hata ukikaa nae hutahisi kama umekaa na mtoto wa tajiri mkubwa tu.. Tatizo hawa watoto ambao wazazi wao wamepatia feza za kifisadi ukubwani.. Wana matatizo sana.. Kuna kipindi bwana mdogo mmoja baba yake alikuwa IGP enzi hizo, jamaa alisumbua utafikiri baba yake ni billionea flani hivi..
All in All ukikulia kwenye familia yenye manners lazima na watoto watakuwa kwenye mstari mnyoofu..
Gone Too Soon Mutie..
Kama namjua.sio yule mtu wa bukoba?maana aliwamaliza watoto wa tabata.
Wanatumia majina gani insta niwacheck maana cwajui
Rumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.
Nadhani anazungumzia pale ulipoongea kuhusu IGP kwamba..sidhani kama anamaanisha mtoto wa MengiMtoto wa Mengi anakuwaje wa bukoba tena mkuu?? Alikuwa anakaa mikocheni
I agree mkuuMali zilizotafutwa kwa jasho huwa zinatumika kwa nidhamu sana,bila kutapanya hovyo. Huyu mwingine,familia ilitumia ofisi ya umma kutajirika,hawakutolea jasho,ni kwa mpango wa mjini. Hawana maumivu,kibiri kibao,dharau nyingi.
HakuhamishwaKabla ya kustaafu alihamishiwa wapi??