Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Ahahahahaha, mkuu utakuwa huwajua vizuri wewe. Ngona niishie hapa.

Tatizo sio kuwajua vizuri. They managed to keep low profile. Kama kujuana hata wewe unatabia zako mbovu tu, hata Mkemia mkuu nae anatabia zake mbovu tu.. Ila hizo weakness zao wanaweza kuzificha na pia hawana nyodo kwenye mitandao au maisha ya kawaida kama watoto wengine wa matajiri
 
Wakubwa walioko hai ni wawili
Regina (anafuga dread hivi) ambaye ana manage EATV na EA radio,na Abdiel ambaye pia kama haijabadilika alikua ni moja ya wakurugenzi ndani ya the guardian,

Aliyefariki alikua Rodney Mutie (alikua mtu mwema pia) na ndio alikua mkuu wa Ea tv na radio.
Plus twins wa dada Klynn...
Picture please
 
Hahahaha wameumia sana watoto wazuri wa mjini enzi zile.. Best yake alikuwa Kinje, watoto wa Academics pale wamepigwa sana tu

I know for a fact. an we wr kinda buddies wit him. Namkumbuka kwenye vikao vyetu vya jioni and I miss him. Hatukua marafiki na hatukujuana kiivo ila tukikutana tuliongea na tulikata hayo majina. ilikua ni bet. Ila hawa jamaa wako so discplined

RIP Mutie
 
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hakuwa na majivuno kabisa, alikuwa mtu poa sana na hata ukikaa nae hutahisi kama umekaa na mtoto wa tajiri mkubwa tu.. Tatizo hawa watoto ambao wazazi wao wamepatia feza za kifisadi ukubwani.. Wana matatizo sana.. Kuna kipindi bwana mdogo mmoja baba yake alikuwa IGP enzi hizo, jamaa alisumbua utafikiri baba yake ni billionea flani hivi..

All in All ukikulia kwenye familia yenye manners lazima na watoto watakuwa kwenye mstari mnyoofu..

Gone Too Soon Mutie..
 
Watoto wamelelewa vizuri ila mwenyewe kavuruga viwanda vya umma alivyokabidhiwa
 
Wakubwa walioko hai ni wawili
Regina (anafuga dread hivi) ambaye ana manage EATV na EA radio,na Abdiel ambaye pia kama haijabadilika alikua ni moja ya wakurugenzi ndani ya the guardian,

Aliyefariki alikua Rodney Mutie (alikua mtu mwema pia) na ndio alikua mkuu wa Ea tv na radio.
Plus twins wa dada Klynn...
Wanatumia majina gani insta niwacheck maana cwajui
 
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hakuwa na majivuno kabisa, alikuwa mtu poa sana na hata ukikaa nae hutahisi kama umekaa na mtoto wa tajiri mkubwa tu.. Tatizo hawa watoto ambao wazazi wao wamepatia feza za kifisadi ukubwani.. Wana matatizo sana.. Kuna kipindi bwana mdogo mmoja baba yake alikuwa IGP enzi hizo, jamaa alisumbua utafikiri baba yake ni billionea flani hivi..

All in All ukikulia kwenye familia yenye manners lazima na watoto watakuwa kwenye mstari mnyoofu..

Gone Too Soon Mutie..
Kama namjua.sio yule mtu wa bukoba?maana aliwamaliza watoto wa tabata.
 
Mali zilizotafutwa kwa jasho huwa zinatumika kwa nidhamu sana,bila kutapanya hovyo. Huyu mwingine,familia ilitumia ofisi ya umma kutajirika,hawakutolea jasho,ni kwa mpango wa mjini. Hawana maumivu,kibiri kibao,dharau nyingi.
I agree mkuu
Malezi pia yanachangia
 
Back
Top Bottom