Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Hata watoto wa Bakhresa nao hawanaga za kuuza sura, sasa watoto wa wale mabillionea wa pesa za madafu mama yangu wanauza sura kuanzia insta, whatsapp mpaka magazetini
 
Ila mkuu kama ni kutusua warembo kibongobongo wala sio tabia ya kusema mbovu. Ishu inayozungumziwa ni mashauzi ya pesa kama ya baadhi ya watu wanaotuonesha midola yao mitandaoni.
 
Una uwakika? Kama hawafanyii bongo je? Napata taabu kidogo kwsbb kama baba anachukua kibinti / kitoto chake , sijui itakuwaje kwa wanaye
Ulimjua vizuri motie? R.I.P. motie
Itakua alicheleea kuja mjini huyu amekuja na basi la Buti La Zungu au Kiazi Kitamu, hao watoto wa kuzaa uzeeni subiri wakue utaona mashauzi huyo Motie sijui Mutie alikua mpenda starehe sana
 
Itakua alicheleea kuja mjini huyu amekuja na basi la Buti La Zungu au Kiazi Kitamu, hao watoto wa kuzaa uzeeni subiri wakue utaona mashauzi huyo Motie sijui Mutie alikua mpenda starehe sana
Yes motie namkumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…