Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Mkuu hujanielewa.ngoja nikueleweshe kidogo. Sijasema watoto wa Mengi kwao Bukoba.nimesema kuna watoto wa kamanda Tibaigana walisumbia sana kitaa.hiyo familia ulikua na Lodge mitaa ya Tabata kanisani sasa wanae walikua wanawamaliza watoto wa tabata na around.sijui umenielewa?
Hiyo lodge naifahamu. Inaitwa Bibi Errah lodge. Ipo Tabata Magengeni pale karibu na branch ya CRDB anapofanyia kazi Dataz.. Mbele kidogo ya kanisa jirani na shule ya Kenton (nasikia shule haipo siku hizi).

Chimbo moja matata sana!
 
Kwaho mengi hana hata mjukuu?
Baba zao walikua marafiki si MM jina lake. Hata yeye Baba yake ni mmoja wa ma director wa kwanza wa IPP. Ingawa ni marehemu lakini familia inapata share kila mwaka.
 
Aisee!

Kipindi namuona alikuwa hafanyi kazi, ila ana nyumba na gari, nikawa najiuliza kwa maisha ya London unawezaje kulipa nyumba, gari na kula bila kazi.


Salute!
Basi bwana hiyo miaka ya awamu ya pili, MM alichemka majibu ya form IV. Alipelekwa kurudia Kiraeni, aliwachanganya watoto wa watu huko, wakawa wanapigana.
 
Back
Top Bottom