Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Yaani nimecheka hadi basi? Yote uliyoeleza ni kweli tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The true meaning of parenting... tutoto twa sikuhizi tunakua kijingakijinga tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]... Wazee wetu walijenga misingi ya mipaka katika jamii kupitia mafunzo haya toka kwa wazazi kwenda kwa watoto.. kwamba mtoto ajifunze kua maisha yana mipaka na sio kila ki2 anachojisikia kufanya afanye... sikuhiz haya mambo hayapo ndio maana generation ya watoto ya sasa is one of the fucked-up generation ever happened[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Painful truth [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…