Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Vile nilkua nawahi kulala nikiona nimefanya kosa [emoji41]Kuna namna tuliishi ishi daah...yaani ukizingua unajua kabisa adhabu yako ipo wapi.Na wakati unapewa adhabu basi lazima uikubali hasa anayekupa adhabu uendena na matakwa yake.
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa hukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa
6. Kujipitishapitisha mahali ambapo wazee wamekaa, utachapwa .
7. Kuwajibujibu watu wazima, utachapwa
8. Usipomjibu mtu mzima, utachapwa
9. Kujifanya sugu wakati wa unachapwa, utaendelea kuchapwa.
10. Ukitoka kuchapwa, ukaimba au kupiga mruzi, utachapwa tena.
11. Usiposalimia wageni, utachapwa
12. Ukila chakula cha wageni, utachapwa.
13. Kuwalilia wageni wanapo ondoka, utachapwa.
14. Ukikataa kula, utachapwa.
15. Kuchelewa kurudi nyumbani baada ya jua kutua, utachapwa
16. Kula nyumba ya jirani, utachapwa.
17. Kujitia kisirani, utachapwa.
18. Kujitia kujuwa juwa sana, utachapwa.
19. Ukipigana na mtoto mwenzio, akakupiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
20. Ukipigana na mtoto mwenzio, ukampiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
21. Ukiwa unakula chakula polepole, utachapwa.
22. Ukiwa unakula haraka haraka, utachapwa.
23. Ukiwa unakula sana, utachapwa.
24. Kuendelea kulala wakati wazee wamesha amka tayari, utachapwa.
25. Ukiwa unawaangalia wageni wakati wanakula, utachapwa.
26. Ukitembea na mtu mzima, ukajikwaa na ukaangua kicheko, utachapwa.
27. Ukila na wakubwa ukachukua nyama bila kupewa, utachapwa.
28. Ukinawa kabla ya wakubwa, utachapwa.
29. Ukimaliza kula ukanyanyuka kabla ya wakubwa, utachapwa.
30. Umechelewa kurudi dukani, utachapwa.
,,N.K
*Kama umepitia malezi haya na bado ukakosa heshima basi wewe ni KONKODI. Kinga ni bora kuliko tiba.
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji87][emoji87][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimsifia mgeni aliyekuja na batavuzi, wakati mdingi anamiliki baiskeli kuu kuu ya swala lazima uchapwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulionewa sana zamaniUkimsifia mgeni aliyekuja na batavuzi, wakati mdingi anamiliki baiskeli kuu kuu ya swala lazima uchapwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
The true meaning of parenting... tutoto twa sikuhizi tunakua kijingakijinga tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]... Wazee wetu walijenga misingi ya mipaka katika jamii kupitia mafunzo haya toka kwa wazazi kwenda kwa watoto.. kwamba mtoto ajifunze kua maisha yana mipaka na sio kila ki2 anachojisikia kufanya afanye... sikuhiz haya mambo hayapo ndio maana generation ya watoto ya sasa is one of the fucked-up generation ever happened[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa hukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa
6. Kujipitishapitisha mahali ambapo wazee wamekaa, utachapwa .
7. Kuwajibujibu watu wazima, utachapwa
8. Usipomjibu mtu mzima, utachapwa
9. Kujifanya sugu wakati wa unachapwa, utaendelea kuchapwa.
10. Ukitoka kuchapwa, ukaimba au kupiga mruzi, utachapwa tena.
11. Usiposalimia wageni, utachapwa
12. Ukila chakula cha wageni, utachapwa.
13. Kuwalilia wageni wanapo ondoka, utachapwa.
14. Ukikataa kula, utachapwa.
15. Kuchelewa kurudi nyumbani baada ya jua kutua, utachapwa
16. Kula nyumba ya jirani, utachapwa.
17. Kujitia kisirani, utachapwa.
18. Kujitia kujuwa juwa sana, utachapwa.
19. Ukipigana na mtoto mwenzio, akakupiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
20. Ukipigana na mtoto mwenzio, ukampiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
21. Ukiwa unakula chakula polepole, utachapwa.
22. Ukiwa unakula haraka haraka, utachapwa.
23. Ukiwa unakula sana, utachapwa.
24. Kuendelea kulala wakati wazee wamesha amka tayari, utachapwa.
25. Ukiwa unawaangalia wageni wakati wanakula, utachapwa.
26. Ukitembea na mtu mzima, ukajikwaa na ukaangua kicheko, utachapwa.
27. Ukila na wakubwa ukachukua nyama bila kupewa, utachapwa.
28. Ukinawa kabla ya wakubwa, utachapwa.
29. Ukimaliza kula ukanyanyuka kabla ya wakubwa, utachapwa.
30. Umechelewa kurudi dukani, utachapwa.
,,N.K
*Kama umepitia malezi haya na bado ukakosa heshima basi wewe ni KONKODI. Kinga ni bora kuliko tiba.
Jr[emoji769]
Ukimkamua moo [emoji202] ukatoa maziwa kidogo utachapwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23]ukitoka kuchunga na ng'ombe hawajashiba unachapwa
Painful truth [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]The true meaning of parenting... tutoto twa sikuhizi tunakua kijingakijinga tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]... Wazee wetu walijenga misingi ya mipaka katika jamii kupitia mafunzo haya toka kwa wazazi kwenda kwa watoto.. kwamba mtoto ajifunze kua maisha yana mipaka na sio kila ki2 anachojisikia kufanya afanye... sikuhiz haya mambo hayapo ndio maana generation ya watoto ya sasa is one of the fucked-up generation ever happened[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Daaah !!! Ila zamani kulikua na kuoneana sana..!! Yaani unaonewa ki wazi wazi, halafu hakuna kuuliza swali..
Naona wajeda waliiridhi hii formula..[emoji848][emoji848][emoji848]...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aseee vyote nimepitia ......nilichelewa kurudi home kisa nilikua naangalia mazingaombwe ...nikafukuzwa home na maza na kipigo juu ....nikisusa kula kipigo na kufukuzwa juu yaani ni balaa juu ya balaa
Sent using Jamii Forums mobile app