Hahahahahaahahhaahah nimecheka sana ile staili kiboko......unafumuliwa vizuri tena ukute mboga kidogo halafu wewe unakula ulaji wa hovyo uuuwiWakati wakula ukiweka shimo kwenye tonge na kidole ili uchote mchuzi utajuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] utaambiwa unakomba mboga,kula kidogo kidogo.Ukila dagaa mzima bila kumkata mara mbili utachapwa tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] my ribsWakati wakula ukiweka shimo kwenye tonge na kidole ili uchote mchuzi utajuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] na ukiamka usipo tandika kitanda utachapwa.Ukijamba mbele ya wakubwa utachapwa.
Mtu mzima akijamba ukamcheka utachapwa.
Ikitoka shule ukarudi mchafu utachapwa tuu.
Ukikojoa kitandani utachapwa.
Ukipakua chakula usipomaliza utachapwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee tume teswa sana.Hahahahahaahahhaahah nimecheka sana ile staili kiboko......unafumuliwa vizuri tena ukute mboga kidogo halafu wewe unakula ulaji wa hovyo uuuwi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukidoea kwa jirani mama nakujua unachapwa,.
Ukichelewa kurudi nyumbani hata kama ulikuwa tuition unachapwa tuu,.
Mitoto ya sikuhizi inaweza kumwambia mzazi "mshenzi we" na mzazi akakenua meno tu......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee tume teswa sana.
Sasaivi watoto wana towea mchuzi mbele ya babazao, wana chukua nyama bila kuambiwa kama wazee daah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hulali kitandani na bakora unapigwaUkikakataa kuoga jioni utachapwa
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa hukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa
6. Kujipitishapitisha mahali ambapo wazee wamekaa, utachapwa .
7. Kuwajibujibu watu wazima, utachapwa
8. Usipomjibu mtu mzima, utachapwa
9. Kujifanya sugu wakati wa unachapwa, utaendelea kuchapwa.
10. Ukitoka kuchapwa, ukaimba au kupiga mruzi, utachapwa tena.
11. Usiposalimia wageni, utachapwa
12. Ukila chakula cha wageni, utachapwa.
13. Kuwalilia wageni wanapo ondoka, utachapwa.
14. Ukikataa kula, utachapwa.
15. Kuchelewa kurudi nyumbani baada ya jua kutua, utachapwa
16. Kula nyumba ya jirani, utachapwa.
17. Kujitia kisirani, utachapwa.
18. Kujitia kujuwa juwa sana, utachapwa.
19. Ukipigana na mtoto mwenzio, akakupiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
20. Ukipigana na mtoto mwenzio, ukampiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
21. Ukiwa unakula chakula polepole, utachapwa.
22. Ukiwa unakula haraka haraka, utachapwa.
23. Ukiwa unakula sana, utachapwa.
24. Kuendelea kulala wakati wazee wamesha amka tayari, utachapwa.
25. Ukiwa unawaangalia wageni wakati wanakula, utachapwa.
26. Ukitembea na mtu mzima, ukajikwaa na ukaangua kicheko, utachapwa.
27. Ukila na wakubwa ukachukua nyama bila kupewa, utachapwa.
28. Ukinawa kabla ya wakubwa, utachapwa.
29. Ukimaliza kula ukanyanyuka kabla ya wakubwa, utachapwa.
30. Umechelewa kurudi dukani, utachapwa.
,,N.K
*Kama umepitia malezi haya na bado ukakosa heshima basi wewe ni KONKODI. Kinga ni bora kuliko tiba.
Jr[emoji769]
Hahahahhahahahahaha nielekeze huu mfuko wa kijaruba upoje mkuuMshana Jr hakuna kuoneana bali ilikuwa ni lugha ya ishara na sote wazazi na watoto tuliielewa.
Ukirudi daftari limejikunja kwenye mfuko wa Kijaruba, unachapwa!!
Ukipata ZIRO utachapwa tu hamna namna!1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa hukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa
6. Kujipitishapitisha mahali ambapo wazee wamekaa, utachapwa .
7. Kuwajibujibu watu wazima, utachapwa
8. Usipomjibu mtu mzima, utachapwa
9. Kujifanya sugu wakati wa unachapwa, utaendelea kuchapwa.
10. Ukitoka kuchapwa, ukaimba au kupiga mruzi, utachapwa tena.
11. Usiposalimia wageni, utachapwa
12. Ukila chakula cha wageni, utachapwa.
13. Kuwalilia wageni wanapo ondoka, utachapwa.
14. Ukikataa kula, utachapwa.
15. Kuchelewa kurudi nyumbani baada ya jua kutua, utachapwa
16. Kula nyumba ya jirani, utachapwa.
17. Kujitia kisirani, utachapwa.
18. Kujitia kujuwa juwa sana, utachapwa.
19. Ukipigana na mtoto mwenzio, akakupiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
20. Ukipigana na mtoto mwenzio, ukampiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
21. Ukiwa unakula chakula polepole, utachapwa.
22. Ukiwa unakula haraka haraka, utachapwa.
23. Ukiwa unakula sana, utachapwa.
24. Kuendelea kulala wakati wazee wamesha amka tayari, utachapwa.
25. Ukiwa unawaangalia wageni wakati wanakula, utachapwa.
26. Ukitembea na mtu mzima, ukajikwaa na ukaangua kicheko, utachapwa.
27. Ukila na wakubwa ukachukua nyama bila kupewa, utachapwa.
28. Ukinawa kabla ya wakubwa, utachapwa.
29. Ukimaliza kula ukanyanyuka kabla ya wakubwa, utachapwa.
30. Umechelewa kurudi dukani, utachapwa.
,,N.K
*Kama umepitia malezi haya na bado ukakosa heshima basi wewe ni KONKODI. Kinga ni bora kuliko tiba.
Jr[emoji769]
Kuna dogo alileta mchezo primary binti akisimama unaweka kioo chini alafu mnaanza kumwambia rangi ya chupi aliyovaa, yani tulikula bakora zisizo na idadiUkivaa chupi mpya wakati za zamani zipo utachapwa..[emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
UtachapwaUkilamba kamasi? Ukipiga chabo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Miaka ya themanini kuna watu waliibuka kutengeneza mifuko kwa kutumia Ukili (Ukindu) na baadhi ya wazazi wa Uswahilini hasa ndiyo ilikuwa mifuko ya kubebea madaftari kwa watoto wao. Baadae hata magunia ya juche yalitumika pia.Hahahahhahahahahaha nielekeze huu mfuko wa kijaruba upoje mkuu