HahahahaUkijamba mkiwa wa 3 wakati wa kula usiku mezani lazma utafutwe ata kwa kunuswa!!! Ukijuwa utagundulila bora utoke nduki ukalale kwa mjomba kuepuka kipigo kisicho kuwa na kipimo!!
Maana ukichapwa ukaendela kulia zoezi Lina anza upya! Ukichapwa ukajamba tena zoezi linaanza tena Automatic!!
Mkuu hii umenichekesha sana. Aladu ukute ugali maharage hapoWakati wakula ukiweka shimo kwenye tonge na kidole ili uchote mchuzi utajuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya sana huo mchezo na mara kwa mara wavulana wote ilikuwa ni bakora tuKuna dogo alileta mchezo primary binti akisimama unaweka kioo chini alafu mnaanza kumwambia rangi ya chupi aliyovaa, yani tulikula bakora zisizo na idadi
Sure mkuu, Siku hizi mzazi mtoto wa kike au hata wa kiume anakuja na simatifoni nyumbani mzazi hana habari
Hahaha wazeee walitunyoosha kweli kweli!Ha ha ha ha ha Aisee nimecheka kinoma
ukitoka kuchunga na ng'ombe hawajashiba unachapwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifeli mitihani utachapwa:
Jirani alimkuta dogo amekaa barazani akilia. Alipoulizwa sababu ya kulia akasema nilikuwa nimekaa tu sebuleni ghafla baba akaja na kunichapa. Jirani kaona hapa dogo ameonewa na alipokutana na mzazi alimwuliza nini sababu ya kumchapa dogo wakati hajafanya kitu? Baba akamjibu: "Ni hivi, kesho atapata matokeo yake ya mitihani, na kawaida yake anafeli na ninamchapa! Lakini kesho mimi nitakuwa safarini, kwa hiyo nimeitanguliza kichapo!"
[emoji23][emoji23][emoji23]ukitongoza mtoto mwenzio kama hakupendi akienda kusemelea kwenu utachapwa
Sent using Jamii Forums mobile app