Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hapo kwenye viwembe Hapo ndo nilikua mtaalamu haswa wa kuviweka mfukoni, nilikua bingwa wa kuchonga penseli class zima.. Watoto wa kihindi na kiarabu walikua mayai mno kuchonga penseli na viwembe, so mie nkawa fundi wao...
 
Halafu ukifanya kosa mtaani mfano mkikutwa mnapigana,anaweza atokee mzee yeyote ambaye hata hawafahamu akawachapa na ukienda kusema nyumbani utachapwa tena

Sent from my TECNO F1 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hapo kwenye viwembe Hapo ndo nilikua mtaalamu haswa wa kuviweka mfukoni, nilikua bingwa wa kuchonga penseli class zima.. Watoto wa kihindi na kiarabu walikua mayai mno kuchonga penseli na viwembe, so mie nkawa fundi wao...
So akiwa akivikuta ni kichapoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…