Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Sawa mhenga
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Sawa mhenga
jamani sio pipi ni peremende. pipi ni hizi za leo.Ukisumbua kanisani ukirudi nyumbani utachapwa
Ukipewa sadaka ukala pipi utachapwa
Ukichelewa sunday school unachapwa
God first
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahaah nshawahi kumpelekea dingi barua ya mtongozo ....yaani mtu kanitongoza kwa barua mi nikapeleka kwa dingi wooooiiii sisahau ile siku
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimaliza daftari wanahesabu karatasi wakikuta zimepungua viboko ndio unapewa jipya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kukalia kiti anachotumia mzee.. Utachapwa.
Kutumia sahani na vikombe vya dingilai yani hapo ni kama umeisiga na kuikanyaga katiba.. Mahakama ya baba mkazi lazima ikuhusu. Ni viboko mbele ya watoto wengine halafu unakiri kosa, na adhabu ndogo ndogo kufagia banda la kuku wiki nzima...
aiseee mshana sijui umekumbuka nn ukaandika hii mada. ila fresh umefanya nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Lamda baba unamuita dadi halafu ukimuona unamsalimia dugu morningDah usipofanya homework hauchapwi....[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimwambia mtu kuwa yeye kwamba ni.
Underdog - utachapwa
Ukimdhihaki mtu kuwa ni yeye ni mtu wa,
Hovyohovyo - utachwapwa
Ila Kama ni Swahiba wa Mtukufu huchapwi.
Wala huruhusiwi kumwomba radhi mtu yoyote hata kama umemkosea.
Kwakuwa Unakuwa ni Kipenzi Pekee cha cha Mtukufu.
Chifu wa Kabila Lenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye viwembe Hapo ndo nilikua mtaalamu haswa wa kuviweka mfukoni, nilikua bingwa wa kuchonga penseli class zima.. Watoto wa kihindi na kiarabu walikua mayai mno kuchonga penseli na viwembe, so mie nkawa fundi wao...Ukiweka kiwembe kwenye kaptula ya Shule mama wakati anafua akakikuta aisee kichapo chake balaa...[emoji23][emoji23]
Ukila kwa jirani kichapo...
Usiposalimia asubuhi kichapoo...
Ukipigwa ukasusa chakula eti usilee ukaenda kulala aisee mboko zitakufata huko kitandani hutaamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu ukifanya kosa mtaani mfano mkikutwa mnapigana,anaweza atokee mzee yeyote ambaye hata hawafahamu akawachapa na ukienda kusema nyumbani utachapwa tena
Sent from my TECNO F1 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akiondoka utachapwa tuuFuraha ilikua pale mzazi anataka akuchape mara paap anatokea mgeni, halafu anasena mwache mtoto
Sent from my TECNO F1 using Tapatalk
Dah...nilimaananisha utachapwa shule[emoji1787][emoji1787]Lamda baba unamuita dadi halafu ukimuona unamsalimia dugu morning
Jr[emoji769]
So akiwa akivikuta ni kichapoo[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye viwembe Hapo ndo nilikua mtaalamu haswa wa kuviweka mfukoni, nilikua bingwa wa kuchonga penseli class zima.. Watoto wa kihindi na kiarabu walikua mayai mno kuchonga penseli na viwembe, so mie nkawa fundi wao...
Me huwa alikuwa anaangali mgongoni... yani akikuta ramani wafwaaUmeambiwa ukaoge,wewe umenawa anakuchek shingo chafu,
Kichapoo cha mbwa koko
Sent using Jamii Forums mobile app