Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...



Hapo no 4. pameniharibu mpk sasa hivi situmii kabisa chombo cha plastic eti nakula kwa sahani ya palastic ama laa maji na kikombe cha plastic staki kabisa bado nakumbikia vyombo vya udongo ni vya wageni now now naweza kukinunua please situmii
 
Ukanya pembeni akashidwa kulenga choo utachapwa
Ukienda kucheza mpira ukaibiwa ndala utachapwa

Ukichelewa kuoga utachapwa tu
Ukivaa mlegezo utachapwa tu
Ukimcheka mlemavu utachapwa
Ukimuita mlemavu wa ngozi albino badala ya mzungu utachapwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Nikiwa darasa la pili, niliwahi kuiba senti 50 ya dada, halafu nilivyofika shuleni karibia darasa zima lilikula matunda aina ya SUNGWI, kwa kisukuma yanaitwa hiyo, sijui yanaitwaje kwa Kiswahili. Nakumbuka kama senti 5 ilikuwa unapata sungwi 8, kwa hiyo kwa senti 50 jumla ilikuwa ni sungwi 80, na senti 50 yote iliisha siku hiyo!
 
Afu wanakusimamia kuoga maji ya mvua na baridi ya mbeya utafikili wamekupiga nusu kaputi [emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mule mulee...tunaishi mbeyaa na hicho ndo kinatokea!! Anakwambia oga mwenyewe vizuri maji ya baridi au nikuogeshe mimi vizuriii[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo vizuri anakusugua balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa billionaire kwa muda siku hiyo

Jr[emoji769]
 
Hahaha, haya mambo tulifanyiwa 90's kurudi huko, sasa vijana wa 2000's naona nao walipitia haya[emoji39][emoji39]
 
Umeambiwa uchochee maharage,umecheza yameungua.
Utachapwa mana hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja maskani walibandika maharage kwenye kigae wakaacha nje, mie huyo na tairi langu hatuna breki nikapita na sufuria na jiko lake maharage yote yakamwagika, Nilichapwa si utani, Nakumbuka Bibi ndo alikuja kuniokoa toka kwa maza.. Teh teh
 
Siku moja maskani walibandika maharage kwenye kigae wakaacha nje, mie huyo na tairi langu hatuna breki nikapita na sufuria na jiko lake maharage yote yakamwagika, Nilichapwa si utani, Nakumbuka Bibi ndo alikuja kuniokoa toka kwa maza.. Teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hahaha zamani ilikuwa noma sana ufanye usifanye mboko hazikwepeki. Nimechezea sana Mboko kisa kuogelea ilikuwa tukirudi wasafi tumetoka kuchunga porini basi ni mboko za kufa mtu kisa tumeogelea, tukijichafua pia mzee anatushtukia akikagua migongo anajua tumeogelea tunachezea mboko hatari sana. Shida ni ilikuwa vigumu kuvumilia wenzako wote wanaogelea halafu we uvunge pembeni kuwaangalia aaah ilikuwa tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…