Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

[emoji23][emoji23][emoji23]ukichungulia wakubwa utachapwa
Jr[emoji769]

Daah! Nakumbuka niliwai mchungulia Dada mmoja tulikua tumepanga kwao afu akaniona! Nilisepa home nikarudi jioni ili nije kubisha kua ckua Mimi! Bahati nzr yule Dada akutilia maanani ingawa aliniona na akaniita kwa jina kbs!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30]pole sana

Jr[emoji769]
 
 
 
ukifanya mchezo mbaya utachapwa
 
Ukimkosea adabu jirani anakuchapa
Jirani akija home kutoa taarifa ya tukio pia unachapwa
 
Pale unapotumwa kuleta kiboko cha kumchapa mwenzio aliekosa ukileta kiboko chini ya kiwango kafimbo kadogo)unachapwa nacho wewe, pia ukileta kikubwa zaidi kama mpini hahahaahaa lazima ushughulikiwe wewe kwanza eti huna huruma na mwenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]

Jr[emoji769]
 
Ila wengine vilitunyoosha haswa, make wengine bila kukungutwa kisawasawa nadhani tungelikuwa majanga kwa Taifa, mimi namshukuru mama angu kwa kunishughulikia nilikuwa mtukutu,alikuwa akinikamata nilikuwa najua kama si IC mochwari,nilikuwa nagongwa mpk dingi anaingilia kati kunirescue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee!
 
Mifugo ikila mazao ya watu utachapwa na mwenye mazao na ukirudi nyumbani utachapwa tena

Ukipewa dawa ya minyoo alafu ukaenda kunywa maji kipigo chako ni cha mbwa kichaa [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuchapwa sikulia nikakabwa kabari hiyo sijui saa ngapi nilianza kupiga mayowe aisee sababu za kuchapwa zilikuwa sijui nne
1. Sikulala mchana kama ilivyotakiwa
2. Nilitoroka kwenda kucheza nje bila ruhusa tena pekupeku
3. Sikufanya hesabu nilizopewa na mwalimu darasani
4. Niliposomewa mashtaka nikajifanya nunda kumbe maza mwenyewe nadhani alitakiwa awe mwanajeshi alikosea fani tu. Hili tukio nadhani liliisha saa saba au saa nane usiku. Sitasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…