Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Ukifeli mitihani utachapwa:
Jirani alimkuta dogo amekaa barazani akilia. Alipoulizwa sababu ya kulia akasema nilikuwa nimekaa tu sebuleni ghafla baba akaja na kunichapa. Jirani kaona hapa dogo ameonewa na alipokutana na mzazi alimwuliza nini sababu ya kumchapa dogo wakati hajafanya kitu? Baba akamjibu: "Ni hivi, kesho atapata matokeo yake ya mitihani, na kawaida yake anafeli na ninamchapa! Lakini kesho mimi nitakuwa safarini, kwa hiyo nimeitanguliza kichapo!"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani tuliishi maisha ya woga sana na stress....ilifika mahali ukiumwa ndo unapendwa nyumbani...utaachwa ulale unavotaka.hautaosha vyombo wala kufagia au kulisha mifugo.....
 
[emoji28] maisha yalikua na ubabe sana.

Siku moja nimekaa somewhere na mzee, namnunulia Castle Lager, tunapiga story.... Nikajaribu rudisha taswira miaka mingi nyuma, hata kukaa naye meza moja ilikua ni mtihani.
Yaani
Walikuwa wakorofiii
 
[emoji28] maisha yalikua na ubabe sana.

Siku moja nimekaa somewhere na mzee, namnunulia Castle Lager, tunapiga story.... Nikajaribu rudisha taswira miaka mingi nyuma, hata kukaa naye meza moja ilikua ni mtihani.
Wakisha chakaa na kuanza kukutegemea wanakuwaga wapole after all na wewe unakuwa tayari mtu mzima hivyo heshima lazima iwepo. Utasikia wakisema, 'huyu namwona kama ndugu yangu wala si mtoto wangu'.
 
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa hukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa
4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa
5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa
6. Kujipitishapitisha mahali ambapo wazee wamekaa, utachapwa .
7. Kuwajibujibu watu wazima, utachapwa
8. Usipomjibu mtu mzima, utachapwa
9. Kujifanya sugu wakati wa unachapwa, utaendelea kuchapwa.
10. Ukitoka kuchapwa, ukaimba au kupiga mruzi, utachapwa tena.
11. Usiposalimia wageni, utachapwa
12. Ukila chakula cha wageni, utachapwa.
13. Kuwalilia wageni wanapo ondoka, utachapwa.
14. Ukikataa kula, utachapwa.
15. Kuchelewa kurudi nyumbani baada ya jua kutua, utachapwa
16. Kula nyumba ya jirani, utachapwa.
17. Kujitia kisirani, utachapwa.
18. Kujitia kujuwa juwa sana, utachapwa.
19. Ukipigana na mtoto mwenzio, akakupiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
20. Ukipigana na mtoto mwenzio, ukampiga ukirudi nyumbani, utachapwa.
21. Ukiwa unakula chakula polepole, utachapwa.
22. Ukiwa unakula haraka haraka, utachapwa.
23. Ukiwa unakula sana, utachapwa.
24. Kuendelea kulala wakati wazee wamesha amka tayari, utachapwa.
25. Ukiwa unawaangalia wageni wakati wanakula, utachapwa.
26. Ukitembea na mtu mzima, ukajikwaa na ukaanguka, utachapwa.
27. Ukitembea na mtu mzima, akajikwaa ukamcheka, utachapwa.
28. Ukijamba mbele ya wakubwa, utachapwa.
29. Mtu mzima akijamba, ukamwangalia, utachapwa.
30. Ukila na wakubwa ukachukua nyama bila kupewa, utachapwa.
31. Ukinawa kabla ya wakubwa, utachapwa.
32. Ukimaliza kula ukanyanyuka kabla ya wakubwa, utachapwa.
33. Umechelewa kurudi dukani, utachapwa.

Mhenga Ongezea...
 
Kiboko ndiyo suluhisho ya kumjenga mtoto kuwa mwenye nidhamu

Back
Top Bottom