Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Copy and paste. Aknowledge waliotunga siyo wewe umekuja post tena humu kama ni uzi wako kumbe ulishatumwa
 
🤣🤣🤣 ulochokiandika ni kweli tupu.
 
Watoto wa siku hizi mayai sana ndio maana kuna ongezeko la tabia chafu.
 
Namba 20 tulikua tunaita kulosa, ukilosa kwa jirani na ikajulikana unapigwa njiti za maana

Ongeza hii, mkikutwa/kufumwa mnafanya matusi mnaramba njiti za kutosha za supu (miguuni)
 
Watoto wa siku hizi ni maskrepa tupu, ukipiga kidogo umeua! Kesi na Jamhuri!
 
 
Haya malezi ya kupiga watoto kama mifugo yafike mwisho sasa sababu yamesababisha kuwa na taifa la watu waoga wasiojiamini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…