APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
@Mshana Jr alishawahi kuuleta huu uziCopy and paste. Aknowledge waliotunga siyo wewe umekuja post tena humu kama ni uzi wako kumbe ulishatumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Mshana Jr alishawahi kuuleta huu uziCopy and paste. Aknowledge waliotunga siyo wewe umekuja post tena humu kama ni uzi wako kumbe ulishatumwa
Tushawazoe kenge wa humu hiyo ni kawaida yenu hamkosi kukosoa pumbavu zenu ninyi kengemaji@Mshana Jr alishawahi kuuleta huu uzi
23. Kubamiza mlango1. Kulia muda mrefu sana baada ya kupigwa
2. Kutolia baada ya kupigwa
3. Kulia bila kupigwa
4. Kusimama mahali ambapo wazee wameketi
5. Kuketi wakati wazee wamesimama
6. Kutembea ovyo mahali ambapo wazee wameketi
7. Kula chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya wageni
8. Kukataa kula
9. Kurudi nyumbani baada ya jua kutua
10. Kula nyumbani kwa jirani
11. Kushindwa pambano la ngumi na mwenzako wa umri wako
12. Kula polepole sana
13. Kula haraka sana
14. Kula sana
15. Kutokumaliza chakula chako
16. Kumaliza chakula chako na kukwaruza sahani yako
17. Kula na kuzungumza
18. Kulala huku wazee ndani ya nyumba wameshaamka
18. Kuangalia wageni wakati wanakula
20. Usipoosha sahani yako baada ya kula
21. Unapoosha sahani yako vibaya
22. Unapovunja sahani ya chakula
Baadhi ya sababu hizi za kumpiga mtoto zinaweza kuoneka kuwa hazina mashiko leo lakini hakika ndizo zilizotufanya sisi watu wazima wa leo kuwa hivi tulivyo
Hongera kwa wazazi wa Kiafrika. Sisi, kizazi kilichokaribia kuuawa kwa kupigwa tunasema ....
ASANTE
[emoji1433][emoji1433]
Wazee naomba muinuke mkisaidie kizazi hiki, wanahitaji tuwaelekeze, mambo yanazidi kuharibika.
Tupambane ili Utamaduni wetu usife!!!
Wazazi wa zamani walikuwa na stress mlima. Kuzitoa lazima akutafutie sababu akukung'unte1. Kulia muda mrefu sana baada ya kupigwa
2. Kutolia baada ya kupigwa
3. Kulia bila kupigwa
4. Kusimama mahali ambapo wazee wameketi
5. Kuketi wakati wazee wamesimama
6. Kutembea ovyo mahali ambapo wazee wameketi
7. Kula chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya wageni
8. Kukataa kula
9. Kurudi nyumbani baada ya jua kutua
10. Kula nyumbani kwa jirani
11. Kushindwa pambano la ngumi na mwenzako wa umri wako
12. Kula polepole sana
13. Kula haraka sana
14. Kula sana
15. Kutokumaliza chakula chako
16. Kumaliza chakula chako na kukwaruza sahani yako
17. Kula na kuzungumza
18. Kulala huku wazee ndani ya nyumba wameshaamka
18. Kuangalia wageni wakati wanakula
20. Usipoosha sahani yako baada ya kula
21. Unapoosha sahani yako vibaya
22. Unapovunja sahani ya chakula
Baadhi ya sababu hizi za kumpiga mtoto zinaweza kuoneka kuwa hazina mashiko leo lakini hakika ndizo zilizotufanya sisi watu wazima wa leo kuwa hivi tulivyo
Hongera kwa wazazi wa Kiafrika. Sisi, kizazi kilichokaribia kuuawa kwa kupigwa tunasema ....
ASANTE
👏🏽👏🏽
Wazee naomba muinuke mkisaidie kizazi hiki, wanahitaji tuwaelekeze, mambo yanazidi kuharibika.
Tupambane ili Utamaduni wetu usife!!!
Mkulungwa umewaza mbali sana mfano mie enzi hizo nilikua nakula kisago kila siku sababu ya hizo mambo ikapelekea kumchukia braza hadi Leo aliyekua ananipa mkong'onto23. Kubamiza mlango
Yeah huku mdomo uko wazi...naona umuhimu wake ukubwani nlipokutana na jamaa anatafuta limdomo wazi na kubadilika hawezi🤣🤣🤣25.Kutafuna chakula kama nguruwe..
watoto wa smartphone hawajui hizi1. Kulia muda mrefu sana baada ya kupigwa