Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

1. Kulia muda mrefu sana baada ya kupigwa
2. Kutolia baada ya kupigwa
3. Kulia bila kupigwa
4. Kusimama mahali ambapo wazee wameketi
5. Kuketi wakati wazee wamesimama
6. Kutembea ovyo mahali ambapo wazee wameketi
7. Kula chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya wageni
8. Kukataa kula
9. Kurudi nyumbani baada ya jua kutua
10. Kula nyumbani kwa jirani
11. Kushindwa pambano la ngumi na mwenzako wa umri wako
12. Kula polepole sana
13. Kula haraka sana
14. Kula sana
15. Kutokumaliza chakula chako
16. Kumaliza chakula chako na kukwaruza sahani yako
17. Kula na kuzungumza
18. Kulala huku wazee ndani ya nyumba wameshaamka
18. Kuangalia wageni wakati wanakula
20. Usipoosha sahani yako baada ya kula
21. Unapoosha sahani yako vibaya
22. Unapovunja sahani ya chakula

Baadhi ya sababu hizi za kumpiga mtoto zinaweza kuoneka kuwa hazina mashiko leo lakini hakika ndizo zilizotufanya sisi watu wazima wa leo kuwa hivi tulivyo

Hongera kwa wazazi wa Kiafrika. Sisi, kizazi kilichokaribia kuuawa kwa kupigwa tunasema ....
ASANTE
👏🏽👏🏽

Wazee naomba muinuke mkisaidie kizazi hiki, wanahitaji tuwaelekeze, mambo yanazidi kuharibika.

Tupambane ili Utamaduni wetu usife!!!
 
[emoji1433][emoji1433]

Wazee naomba muinuke mkisaidie kizazi hiki, wanahitaji tuwaelekeze, mambo yanazidi kuharibika.

Tupambane ili Utamaduni wetu usife!!!
23. Kubamiza mlango
 
Wazazi wa zamani walikuwa na stress mlima. Kuzitoa lazima akutafutie sababu akukung'unte
 
unapewa hela aunde dukani ukanunue kibiriti unaambiwa fanya haraka,,ili neno,"fanya haraka"linafatana na kofi flani hivi jepesi mgongoni"yani hapo unapewa time alert kwamba ilo tukio la kutumwa ukizingua muda wowote ule anachezea kichapo[emoji28][emoji23]
 
Na hii ndo sababu Taifa letu ni la hovyo..uoga uliopitiliza
 
1. Kulia muda mrefu sana baada ya kupigwa
2. Kutolia baada ya kupigwa
3. Kulia bila kupigwa
4. Kusimama mahali ambapo wazee wameketi
5. Kuketi wakati wazee wamesimama
6. Kutembea ovyo mahali ambapo wazee wameketi
7. Kula chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya wageni
8. Kukataa kula
9. Kurudi nyumbani baada ya jua kutua
10. Kula nyumbani kwa jirani
11. Kushindwa pambano la ngumi na mwenzako wa umri wako
12. Kula polepole sana
13. Kula haraka sana
14. Kula sana
15. Kutokumaliza chakula chako
16. Kumaliza chakula chako na kukwaruza sahani yako
17. Kula na kuzungumza
18. Kulala huku wazee ndani ya nyumba wameshaamka
18. Kuangalia wageni wakati wanakula
20. Usipoosha sahani yako baada ya kula
21. Unapoosha sahani yako vibaya
22. Unapovunja sahani ya chakula

Baadhi ya sababu hizi za kumpiga mtoto zinaweza kuoneka kuwa hazina mashiko leo lakini hakika ndizo zilizotufanya sisi watu wazima wa leo kuwa hivi tulivyo

Hongera kwa wazazi wa Kiafrika. Sisi, kizazi kilichokaribia kuuawa kwa kupigwa tunasema ....
ASANTE
👏🏽👏🏽

Wazee naomba muinuke mkisaidie kizazi hiki, wanahitaji tuwaelekeze, mambo yanazidi kuharibika.

Tupambane ili Utamaduni wetu usife!!!
watoto wa smartphone hawajui hizi
 
Ushoga ni kama lazima maadamu Serikali hii iko madarakani hakuna kukwepa kwani ni sehemu ya agenda za WEF ambapo sisi ni member kupitia Watawala wetu wa sasa, Ruto ametatua hili in a very clever way (by the way Ruto ni WEF pia), ameisakizia Mahakama ikapitisha Ushoga halafu yeye akajitoa hadharani kulaumu maamuzi ya Mahakama as if yeye hahusiki kwa hiyo Wakenya wanaamini Ushoga ni Mahakama ndiyo imepitisha na Raisi hawezi kuingilia uhuru wa Mahakama, hivyo hakuna political accountability kwani Jaji wa Mahakama hasimami popote kuchaguliwa.

Very clever, …
 
Back
Top Bottom