imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Tumetoka huko mengine tumeyazusha wenyewe kama vile "Dini".Mbona hatushei tabia, ikiwemo civilization,kuongea.
Achana na propaganda za wapasuliwa speaker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumetoka huko mengine tumeyazusha wenyewe kama vile "Dini".Mbona hatushei tabia, ikiwemo civilization,kuongea.
Achana na propaganda za wapasuliwa speaker
Uganda washawadaka faster wanawanyoosha huo ujinga waachie WakenyaUshoga ni kama lazima maadamu Serikali hii iko madarakani hakuna kukwepa kwani ni sehemu ya agenda za WEF ambapo sisi ni member kupitia Watawala wetu wa sasa, Ruto ametatua hili in a very clever way (by the way Ruto ni WEF pia), ameisakizia Mahakama ikapitisha Ushoga halafu yeye akajitoa hadharani kulaumu maamuzi ya Mahakama as if yeye hahusiki kwa hiyo Wakenya wanaamini Ushoga ni Mahakama ndiyo imepitisha na Raisi hawezi kuingilia uhuru wa Mahakama, hivyo hakuna political accountability kwani Jaji wa Mahakama hasimami popote kuchaguliwa.
Very clever, …
Tungetoka huko hii Generation Isingekuwepo ingeshafutikaTumetoka huko mengine tumeyazusha wenyewe kama vile "Dini".
Kama huruma kauza tuzo kwa 20000 dah ni udhalilishajiMadhara ya kupata Bawaziri labda, ila mfumuko wa bei na kupanda kwa maisha kunafanya vijana wengi wauze tuzi zao kwa bei nafuu.
Vijana wanaombaomba hawana ajira na mfumuko wa bei maisha yako juu wako radhi wauze utu wao.Kama huruma kauza tuzo kwa 20000 dah ni udhalilishaji
Uganda washawadaka faster wanawanyoosha huo ujinga waachie Wakenya
Sasa mkuu je watu wanaojihusisha na ushoga hasa hasa kwa asilimia kubwa kabisa je ni hao intersex au ni watu wenye jinsia zao kamili? Mtu kuzaliwa na jinsia zote mbili au kuwa na viungo vya uzazi visivyoeleweka kiasi kwamba ishindikane kukutambua jinsia yako ni kitu kinatokea kwa nadra sana... na watu wa aina hiyo ni wachache mno duniani. Ushoga unafanywa zaidi na watu ama wanaume au wanawake.Katiba yetu mpya kuwe na HAKI za makundi yote ya Jamii tusiache kundi lolote nje.
Unaelewa kuwa kuna Binadamu anazaliwa akiwa na Sex zote yaani intersex? Je ni makosa yao au ya nani?
What does intersex mean? Intersex is a general term used for a variety of situations in which a person is born with reproductive or sexual anatomy that doesn't fit the boxes of “female” or “male.” Sometimes doctors do surgeries on intersex babies and children to make their bodies fit binary ideas of “male” or “female”.
Tusiziingilie starehe za watu let us mind our business tuzi usioila inakuwashia nini.Ushoga unafanywa zaidi na watu ama wanaume au wanawake.
Wef ni nini?Lakini Kenya na Tanzania wote wana bosi mmoja, wanafwata Agenda za WEF ambapo ni wanachama, ulishawahi kumuona Museveni kwenye Mkutano wowote wa WEF?
Vichwa vya wendawazimu wabongo asilimia fulani..tena wenye elimu ya kukaririNiseme tu kuna maisha tuliyapitia mengi yalitufunza na mengi natamani jamii ya leo ingeyafanya kwenye familia zao vipigo kwa sasa sio utaratibu mzuri ila watoto wetu tusiwanyime mafunzo bora. Afrika ya leo inateketea kwa kukosa kujiheshimu na kujitambua wazungu wana mengi wametuficha na wanatuonyesha yale wanayojua tukiiga tumepotea. Angalia leo wanasema wanawake wanaweza bila mwanaume lakini kwao kesi haziishi kutaka support ya mwanaume na wakija afrika wanatela propaganda za kujiweza na haki sawa, sio kitu kibaya lakini tunaoyapokea yanakuja kwa nia nzuri au kufanya familia zianguke na baadae waweze kutake over tena