Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

Uganda washawadaka faster wanawanyoosha huo ujinga waachie Wakenya
 
kuizungumzia ushoga ndo kuupa kiki zaidi kuna vitu vya msingi vya kusemea kuliko hao waliwa (nukudi)..ama kweli
 
Madhara ya kupata Bawaziri labda, ila mfumuko wa bei na kupanda kwa maisha kunafanya vijana wengi wauze tuzi zao kwa bei nafuu.
Kama huruma kauza tuzo kwa 20000 dah ni udhalilishaji
 
Uganda washawadaka faster wanawanyoosha huo ujinga waachie Wakenya

Lakini Kenya na Tanzania wote wana bosi mmoja, wanafwata Agenda za WEF ambapo ni wanachama, ulishawahi kumuona Museveni kwenye Mkutano wowote wa WEF?
 
Tuandamane kwa vitu kama Prison Reforms kuwe na HAKI za Binadamu Wafungwa wasiwe wanalazwa saa 9 jioni au kuvuliwa ngua na kusachiwa kwa kuingiziwa vidole bila hiari yao.

Manyampara waache kuwabaka wafungwa na vitu kama hivyo.

Hayo maandamano hata mimi nitajiunga.
 
Sasa mkuu je watu wanaojihusisha na ushoga hasa hasa kwa asilimia kubwa kabisa je ni hao intersex au ni watu wenye jinsia zao kamili? Mtu kuzaliwa na jinsia zote mbili au kuwa na viungo vya uzazi visivyoeleweka kiasi kwamba ishindikane kukutambua jinsia yako ni kitu kinatokea kwa nadra sana... na watu wa aina hiyo ni wachache mno duniani. Ushoga unafanywa zaidi na watu ama wanaume au wanawake.
 
Watoto wa zamani waliishi kama wapo jeshini, wakikua ni full adabu, kuheshimu watu, utu, busara na kujitegemea wakiwa bado wadogo.

1. Usiposalimia wakubwa asubuhi unapigwa
2. Usiposalimia wageni unapigwa
3. Ukinawa kabla ya wageni unapigwa
4. Ukilia bila sababu unapigwa
5. Ukinyanyuka wakati wa kula kabla ya wakubwa kuinuka unapigwa
6. Wakubwa wakiwa wamekaa wewe ukaenda kusimana pembeni unapigwa
7. Ukikaa wakubwa wamesimama unapigwa
8. Ukitumwa dukani ukachelewa kurudi unapigwa
9. Ukichelewa kurudi toka shuleni unapigwa
10. Ukiwahi kurudi shuleni unapigwa

11. Ukililia wageni wakati wanaondoka, wakitoka unapigwa
12. Kujipitisha pitisha wageni wakiwa wanakula unapigwa
13. Kujibu ovyo wakubwa unapigwa
14. Kutukana watu wazima, watoto au rika lako unapigwa
15. Ukiwa mbishi bila sababu unapigwa
16. Ukipigwa ukalia unapigwa ili unyamaze
17. Ukipigwa umenyamaza unapigwa ili ulie
18. Ukipigwa shuleni ukaenda kusema nyumbani, unapigwa
19. Ukianza kula nyama kabla ya wakubwa unapigwa
20. Ukila kwa jirani ukabainika unapigwa

21. Ukianza kunawisha wenyeji badala ya wageni mkimaliza kula unaitwa chumbani unapigwa
22. Ukianza kunawisha watoto badala ya wakubwa unapigwa
23. Ukimkuta mtu nzima hujampokea unapigwa
24. Ukienda kusema kama umepigwa unapigwa.
25. Mtu mzima akipita kama mnacheza hamjamshughulikia unapigwa.
26. Ukienda nyumba za watu, ukaona kitu au ukasikia story ukaileta nyumbani unapigwa
27. Ukipewa hela na mtu asiefahamika au hata anaejulikana inategemea mazingira gani unapigwa
28. Ukianza kuchaguwa chakula hiki nakula hiki sili unapigwa
29. Ukianza kuwa na marafiki wasioleweka makwao unapigwa
30. Mtu mkubwa akija kukuchongea nyumbani hata kama sio cha ukweli unapigwa

31. Ukikaa na wakubwa halafu ukaanza kucheka bila sababu unapigwa.
32. Ukimwuliza Baba/ Mama umetoka wapi unapigwa.
Endapo umepigwa na Ukasusa chakula unapigwa .
33. Ukilala bila kula unapigwa.
34. Ukiitwa ukaja kimyakimya bila ya kuanza kuitika unapigwa.

Wahenga njoooni tukumbushane πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ₯±

MENGINE MTAONGEZEA

 
Niseme tu kuna maisha tuliyapitia mengi yalitufunza na mengi natamani jamii ya leo ingeyafanya kwenye familia zao vipigo kwa sasa sio utaratibu mzuri ila watoto wetu tusiwanyime mafunzo bora. Afrika ya leo inateketea kwa kukosa kujiheshimu na kujitambua wazungu wana mengi wametuficha na wanatuonyesha yale wanayojua tukiiga tumepotea. Angalia leo wanasema wanawake wanaweza bila mwanaume lakini kwao kesi haziishi kutaka support ya mwanaume na wakija afrika wanatela propaganda za kujiweza na haki sawa, sio kitu kibaya lakini tunaoyapokea yanakuja kwa nia nzuri au kufanya familia zianguke na baadae waweze kutake over tena
 
Vichwa vya wendawazimu wabongo asilimia fulani..tena wenye elimu ya kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…