Utovu wa nidhamu.Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...
Nakupenda wewe mdada. Kama una nduguyo niunganishe nae.ππHabari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...
Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...
Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.
Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...
Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...
Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...
Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..
Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..
Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...
Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...
Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...
Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
Kisababishi always sio kimoja. But single mothers ni moja ya cause ya ushoga.Hivi anaye wadanganya kuwa Ushoga unatokana na malezi ya single mama nani? Mnaweza kuwa sahihi ktk mambo mengine, ila sio Ushoga,
Kuna familia ina wazazi wote na wamenyooka, lakini mtoto anakua shoga, na kuna familia ina mzazi m1 huyo mama na hakuna mtoto shoga.
Muwe mnakaa na kujifunza na kuelewa nini maana ya ushoga, muingie ndani zaidi mpate kufahamu ndipo mtajua namna sahihi ya kupambana nao, ila hizi hekaya na mihemko yenu, mtakua mnalia na kupovukwa kila siku, huku huo ushoga ukikua na kuenea kwa kasi ya 7G.
Yaan mkikaaa huko kwenye vikao na vijiwe vyenu mnalishana matango pori kuhusu ushoga, Lol
Poleeeniiiii.
Bora useme wewe mwanamke mwenzao huenda wakakuelewa..Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...
Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...
Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.
Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...
Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...
Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...
Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..
Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..
Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...
Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...
Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...
Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
Ninakataa!! Almost mashoga wengi ni hawa walio na wazazi wote wawili.Kisababishi always sio kimoja. But single mothers ni moja ya cause ya ushoga.
Hope umeelewa.
Pole. Achana na ushoga siyo mzuri na haimpendezi Mungu wala wanadamuHivi anaye wadanganya kuwa Ushoga unatokana na malezi ya single mama nani? Mnaweza kuwa sahihi ktk mambo mengine, ila sio Ushoga,
Kuna familia ina wazazi wote na wamenyooka, lakini mtoto anakua shoga, na kuna familia ina mzazi m1 huyo mama na hakuna mtoto shoga.
Muwe mnakaa na kujifunza na kuelewa nini maana ya ushoga, muingie ndani zaidi mpate kufahamu ndipo mtajua namna sahihi ya kupambana nao, ila hizi hekaya na mihemko yenu, mtakua mnalia na kupovukwa kila siku, huku huo ushoga ukikua na kuenea kwa kasi ya 7G.
Yaan mkikaaa huko kwenye vikao na vijiwe vyenu mnalishana matango pori kuhusu ushoga, Lol
Poleeeniiiii.
Nikupe polee wee. Nilijua una hoja ya maana.Pole. Achana na ushoga siyo mzuri na haimpendezi Mungu wala wanadamu