Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Sijui kwa nini hii notion ya single mothers imekuwa kubwa hiviwewe sema Kama kuna gasho kakubebea bwana wako, sio kuja na hanging facts kuwa single mama ndio chanzo Cha malezi mabovu na ushoga.
single mama ni matokeo ya kuto wajibika kwa watu wawili kwenye uhusiano, aidha baba akatae mimba au mama mdangaji so ana shindwa kujua baba ni yupi.
ushoga ni matokeo ya influence ya watoto au mtu mzima kujaribu Mambo ya kingese, aidha kwa kushawishiwa au tamaa zao wenyewe.
Sioni hoja thabiti hapa binti kiziwi, Shimba ya Buyenze, Eyce hebu mje na hoja tuone hapa🤔
By the way kwenye kila mtoto kuna pande mbili na kila pande yaweza kupongezwa ama kulaumiwa. Lakini pia tusisahau kuna kizazi cha nyuma pia kililelewa na wazazi wawili kikaharibikiwa
Kuna kizazi cha uswahilini wana wazazi wote wawili ila wameharibikiwa
Kwa hiyo ni vyema kuongelea hii issue kiujumla kuliko kuongelea kwa upande mmoja
Kwa maana kama hakuna strong women bhasi tunabidi tujiulize, strong men wako wapi wa kusimamia haya yanayoharibika
Kama kuna weak mothers, hao strong fathers wanakuwa wapi