Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
Kwendaaa takataka weweUmelelewa na single mom
Kwendaaa takataka weweUmelelewa na single mom
Mwenyewwe nawashangaa sie kwetu tumekuzwa na mama na hajawahi kutaka ujinga ni unabondwa mpaka unaona mwezi! Kwetu wote tuna adabu hakuna mtoto mpuuzi!Hayo ni malezi ya wamama wa uswahilini hata wakiwa kwenye ndoa zao kwa aliyeishi uswazi ataelewa lakini umkute mama kutoka Kanda ya ziwa analea watoto peke yake hawezi kufanya huo upuuzi hata siku moja...