Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...

Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...

Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.

Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...

Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...

Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...

Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..

Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..

Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...

Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...

Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...

Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
Naunga mkono hoja
 
Mchukia wanawake wewe!

Ndivyo utakavyoambiwa. Ila ukweli upo wazi
 
Ushoga upo tangu zamani , ukiona mtu ampaka amekuwa shoga ujue kuna kitu kimeingilia maisha yake ukitaka kuamini kama wewe ni mwanaume embu fikiria kuwa shoga kama hujaona kinyaa.
Hivi Ushoga ni kinyaa? Kivipi? Em fafanua kwani?
 
kasoro za maumbile, kukutana na wanaume wenye roho mbaya wanaharibu hasa watoto, Tamaa za kijinga ndio sababu. Yani inshort mwanaume kamili kuwa shoga sio jambo rahisi yani kwenye ukuaji kuna umri flan ukifika tu unaanza kuvutiwa na wadada🤣 mara umeota unawala unajikojolea mpaka unaingia kwenye mahusiano rasmi . Mtu mapaka anakuwa shoga lazima kuna kitu hakiko sawa tu mkuu sio hivi hivi
Tatizo ni unashindwa hata kueleza hicho unacho kusudia, ni aidha hujui au unajua, ila huelewi kwa namna ipi uwasilishe na ukaeleweka. Lol
 
Kitu kikubwa cha kwanza usimwamini ndugu yako au mtu yeyote wa karibu haswa wa Kiume,,, maana hata wa Kike nao siku hizi wanawaharibu watoto wa kiume... Yale mambo ya kalale na Kaka Mkubwa au Baba Mdogo na Mjomba yamewaharibu watoto wengi..
Hizo shida, maradhi na tamaa ni baadaye..
Hii ishu ya kuharibiwa na ndugu au watu wa karibu, iko ila sio hivyo ambavyo inasemwa.

Na wengi huwa wanasemea hii, km kuji defend ila sio.

Ushoga ni zaidi ya muujuavyo na mnavo ufahamu.
 
Nonsense
 
Back
Top Bottom