Unapinga kwamba sio kisababishi at all?Ninakataa!! Almost mashoga wengi ni hawa walio na wazazi wote wawili.
Single mama sio cause ya ushoga, hili nitapinga hadi mwisho wa dahari, labda kwa mambo mengine ni sawa mtakua sahihi kadri ya maono yenu, ila kwenye ushoga, hapa hapanaa.
Haswaaa.Unapinga kwamba sio kisababishi at all?
Naunga mkono hoja, 👏👏👏wewe sema Kama kuna gasho kakubebea bwana wako, sio kuja na hanging facts kuwa single mama ndio chanzo Cha malezi mabovu na ushoga.
single mama ni matokeo ya kuto wajibika kwa watu wawili kwenye uhusiano, aidha baba akatae mimba au mama mdangaji so ana shindwa kujua baba ni yupi.
ushoga ni matokeo ya influence ya watoto au mtu mzima kujaribu Mambo ya kingese, aidha kwa kushawishiwa au tamaa zao wenyewe.
Sioni hoja thabiti hapa binti kiziwi, Shimba ya Buyenze, Eyce hebu mje na hoja tuone hapa🤔
Sema wee. LolShida mbona hata watoto waliolelewa na wazazi wote wawili tunao wengi sana mitaani ambao ni wa hovyo kabisa kuliko hata waliolelewa na singo mazaz,hapo inakaaje?
bado haja olewa huyo, labda wame zidiana kwa mchumba wake😂Kwa povu hili sina shaka kuna singo mama kakuzidi maujuzi, mwenzio yake imebana halafu sio shida zake kuruka judo na kuchungulia uvunguni 🤣🤣🤣🤣
Pole mama mchungaji hili nalo litapita, lol
Alaaah kuuuumbe,bado haja olewa huyo, labda wame zidiana kwa mchumba wake😂
Haya tuambie, ushoga unatokana na nini dada yetu koka.Hivi anaye wadanganya kuwa Ushoga unatokana na malezi ya single mama nani? Mnaweza kuwa sahihi ktk mambo mengine, ila sio Ushoga,
Kuna familia ina wazazi wote na wamenyooka, lakini mtoto anakua shoga, na kuna familia ina mzazi m1 huyo mama na hakuna mtoto shoga.
Muwe mnakaa na kujifunza na kuelewa nini maana ya ushoga, muingie ndani zaidi mpate kufahamu ndipo mtajua namna sahihi ya kupambana nao, ila hizi hekaya na mihemko yenu, mtakua mnalia na kupovukwa kila siku, huku huo ushoga ukikua na kuenea kwa kasi ya 7G.
Yaan mkikaaa huko kwenye vikao na vijiwe vyenu mnalishana matango pori kuhusu ushoga, Lol
Poleeeniiiii.
Upo sahihi sana. Shetani yupo kazini na anatamalaki kwa sababu anapewa nafasi!Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...
Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...
Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.
Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...
Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...
Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...
Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..
Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..
Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...
Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...
Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...
Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
Ushoga upo tangu zamani , ukiona mtu ampaka amekuwa shoga ujue kuna kitu kimeingilia maisha yake ukitaka kuamini kama wewe ni mwanaume embu fikiria kuwa shoga kama hujaona kinyaa.Haya tuambie, ushoga unatokana na nini dada yetu koka.
Kitu gani,shida?maradhi?tamaa?Ushoga upo tangu zamani , ukiona mtu ampaka amekuwa shoga ujue kuna kitu kimeingilia maisha yake ukitaka kuamini kama wewe ni mwanaume embu fikiria kuwa shoga kama hujaona kinyaa.