min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Nasikia toto laini tutusa umejazia jazia ni mimi tu😋😋Wewe mkaka jamaniiii
Nasikia toto laini tutusa umejazia jazia ni mimi tu😋😋Wewe mkaka jamaniiii
🤣🤣🤣 wamama wa kanda ya ziwa wapoje mkuu? Wanagawa kichapo sana mpaka unakaa kwenye mstari?Hayo ni malezi ya wamama wa uswahilini hata wakiwa kwenye ndoa zao kwa aliyeishi uswazi ataelewa lakini umkute mama kutoka Kanda ya ziwa analea watoto peke yake hawezi kufanya huo upuuzi hata siku moja...
🤣🤣🤣 daah 🙌Single father's tunawacheki tu , ngoja mabinti zetu waje wawanyooshe , tunanawapika akiwekewa ugoko wewe tia daluga , jino kwa jino, mwendo wa ngiri mkia ju.,Gadeim.
Aanasema no social problems explaining its causes using single reason una hoja ila na single mother nayo ni interplay factorKisababishi always sio kimoja. But single mothers ni moja ya cause ya ushoga.
Hope umeelewa.
Kumbe je😁🤣🤣🤣 daah 🙌
Jino kwa jino😁😁 mambo yasiwe mengiKumbe je😁
Mguu wa shingo , binti wa baba😅Jino kwa jino😁😁 mambo yasiwe mengi
💯 %+Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...
Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...
Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.
Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...
Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...
Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...
Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..
Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..
Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...
Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...
Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...
Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
Kwa kweli naunga mkono hoja, nikiwa kama binti wa Baba 😅Mguu wa shingo , binti wa baba😅
Binti wa baba haumwambii kitu , kesi za vidume kula za uso nazipata kinouma huku shule za msingi , kakiwa kana miaka mitatu nilikasikia kanasema baba angu anapiga vibaya 😅😅😅😅Kwa kweli naunga mkono hoja, nikiwa kama binti wa Baba 😅
😂😂😂 baba unamtunza binti yako hutaki utani kabisa 😄Binti wa baba haumwambii kitu , kesi za vidume kula za uso nazipata kinouma huku shule za msingi , kakiwa kana miaka mitatu nilikasikia kanasema baba angu anapiga vibaya 😅😅😅😅
Na mababa tunajua watunza mabinti zetu hawawezi danganyika na vitu vidogo😂😂😂 baba unamtunza binti yako hutaki utani kabisa 😄
Et baba yangu anapiga vibaya 😁😁
Kwa kweli ukiwa binti wa Baba kuna raha sana
Hakika kabisa nakuelewa vizuri sana Mkuu,Na mababa tunajua watunza mabinti zetu hawawezi danganyika na vitu vidogo
Of course yes. Ila huyu jamaa anakatakaa kabisa kuwa haiko katika factor ya hayo.Aanasema no social problems explaining its causes using single reason una hoja ila na single mother nayo ni interplay factor
shemeji yako yule ni kunguru, aki sikia hata kikohozi ni mbio tu😂😂Kiukweli hamna haja ya kuongeza kitu shemeji.
Swali: Ulienda kupigana? Uzi wenu nimeuona ila nikapita shwaa kama kivuli, nisijeanza kulia 😅
Mzenji na kujazia wapi na wapi🤣🤣🤣Nasikia toto laini tutusa umejazia jazia ni mimi tu😋😋
Kwani mleta mada kasema tatzo la maadil ni ushoga tu?!! Mbona umeshupalia ushoga ushoga hujaona matatzo mengne aliyokuja nayo mleta mada?!Ninakataa!! Almost mashoga wengi ni hawa walio na wazazi wote wawili.
Single mama sio cause ya ushoga, hili nitapinga hadi mwisho wa dahari, labda kwa mambo mengine ni sawa mtakua sahihi kadri ya maono yenu, ila kwenye ushoga, hapa hapanaa.
Acheni kuwaza bila kuwazua......siyo ukiwaza tu unaamini bila kutafakali, kwamba watoto watukutu wote wamelelewa na single mother! Embu rudini field mje na tathini sahihiHabari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...
Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama...
Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao linaharibu jamii.
Sitakaa kimya, maana mnayaona yanayojiri kwenye nyumba za hawa single mama...
Mama anabwana anaingia ndani kwake na mtoto yupo hapo Wala hajali wanafanya yao...
Wanakuwa na upendo uliopitiliza kwa watoto na kuwadekeza kama mayai hawawachapi watoto...
Wanawafanya waone kuwa kipigo fimbo ni kunyanyaswa..
Watoto hawajui wakae na nani wakiume kutwa kukaa na wanawake sababu wanakaa na mama zao muda wote na ushoga nao unaanzia hapo..
Wakike nao wanaona Haina faida ya kuolewa nao wanataka kuwa kama mama zao...
Watoto wanaongeleshwa mambo ya kikubwa na mama zao chuki wanajazwa tokea wakiwa wadogo...kuwa baba yako ni mbaya aliniacha, mama zao wanaongea nao changamoto zao ambazo zinawakuza ilihali ni wadogo...
Kifupi watoto hawasikii huko mtaani watoto walio na tabia mbaya ni wa single mama...
Bado malezi ya baba na mama yanahitajika katika kutengeneza kizazi kijacho...
Mie nimeona kwenye angle ya ushoga, kuhusu hayo mengine nimekuachia wee na wengine mjadili.Kwani mleta mada kasema tatzo la maadil ni ushoga tu?!! Mbona umeshupalia ushoga ushoga hujaona matatzo mengne aliyokuja nayo mleta mada?!