Mimi ni mwalimu na ninadeal na watoto kwa kiasi kikubwa. Asilimia kubwa ya watoto wanaotusumbua zaidi ni hawa wanaolelewa na wazazi wote ambao hawawajibiki ipasavyo ktk malezi yao.
Single moms wengi hulea watoto wao katika mazingira magumu hivyo wako strict sana ktk malezi ya watoto wao na kutotaka warudie makosa.
Mtu wa hovyo ni wa hovyo tu hata akiwa katika ndoa bado atashindwa kusimamia malezi vyema ya watoto wake.