Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

Walipwe tu hata 10mil kwa wiki, wacha Walipwe wafurahie matunda ya kazi za wazazi wao..... WALIPWEEEEEE
 
Reactions: EEX
Walipwe Kwa kweli kama mamaza zao au madingi wenza.
Hii nchi ishakuwa ya kishenzi sana
 
Hawa vio.ngozi wa ccm ni wabinafsi sana. Yani mke hafanyi kazi alipwe? Ingekuwa nchi za wenzetu wanaojielewa kingenuka cc tunamsikilizq zuchu. Na kubeti

Mishahara ya viongozi ni midogo. Tunawalipa milioni labda 10 kwa mwezi. Tunawawekea mafuta katika magari yao, na nyumba,na Ulinzi, hiyo haiwatoshi na wenza au Watoto wao.
Hilo la ubinafsi ni lako Mkuu.

Gombea tukuchague ili nawe tukulipe.
 
Imepita bila kupingwa
 
Kati ya muswada was hovyo kupitishwa na Bunge hili!

Mi nadhani wake wa viongozi kumiliki cheti Cha ndoa TU Kuna tosha kuwa mshahara kwao,kuwa na watoto waliosomeshwa kunatisha kwao kumaliza maisha kwa furaha hapa duniani!!

Kuna Sheria za kijinga sana chama changu CCM kinapitisha ambazo zitahitajie kubadilishwa nishikapo hatamu ,mojawapo ni hiyo!!
 
Kuna watu Wana mawazo ya kipumbavu kweli hawakupaswa kufika hata mwaka 2000 wakiwa hai 😡😡
Nyie ndio mnakuwa serious Hadi chooni..relax brother..... Maisha sio ya hekaheka kiasi hicho.....
 
Vipi classmates wa watoto wa viongozi nao walipwe? Kama Yes nami nipo
 
Ila walioomba wenza wao walipwe unaona Wana akili..... Ungemsoma bilaa kuwa na upande wako ungemuelewa....tatizo una Majibu yako kabla hata ya kumsoma alichoandika.....
 
Tunatakiwa wanaume milioni Moja wa ziada Ili kila mwanamke apate mume ...tunawatoa wapi Sasa zaidi ya kuazimishana vichongeo na penseli Kwa muda mywangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .....
Sio Kila kitu ni cha Kila mtu[emoji1787]
 
Naunga mkono hoja walipwe millioni tano kwa mwezi.
 
Reactions: EEX

Naunga mkono hoja. Tuanze na Riz moko na Abduli kama shamba darasa Ili kupata uzoefu.

CCM hoyeee ..!
 
Reactions: EEX
Sihitaji utajiri unaopatikana kwa kuwafanya wengine masikini. Nataka utajiri unaotokana na kuwatajirisha wengine. Huyo ndio Mimi and I'm going to make it[emoji120]
Wouzer🙌🙌
 
Umesahau kuweka namba za simu,lakini hujachelewa unaweza ukaedit.
Hata hivyo na wewe unastahili kulipwa kwa kulingamua hilo,ni wachache wenye uwezo wa kuwa na busara kama zenye tija kwa taifa la wadanganyika.
 
Tena kama tukitaka equality hii kitu iende hadi kwa watoto wa makalani wa mahakama nao pia walipwe tu make wazazi wao kiukweli wanakula msoto sana kutunza yale mafaili ya kesi za watu na ukizingatia kesi zingine huchukua hadi miaka kumi kupata maamuzi.

Hivyo nashauri nao pia walipwe tu ili tupunguze adha ya kesi za kubambikiana na kusubirishwa kisa kalani kadakishwa chochote kitu ili wanae waione njia ya chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…