Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

Uliwahi kuona mtu analipwa kwa sababu ya kulala Mkuu?
Fanyeni kazi nyie
Yaani walala hoi wanalalwa kabisa.

Wakienda kuomb kazi wanalalwa
Katika mfumo wa monosex wanaolalwa ni walalahoi.

Walikosea wanalalwa kama adhabu.

Wake zao wakikutaba na boss kama ni warembo wanalalwa.

Wakiomba msaada kwa boss kama ni binti analalwa.


Tuwaelimishe watoto walalahoi kufanya mizunguko wa fedha ili wasikutane na maboss
 
Kwa kuongezea kwenye hili watoto wa viongozi wapewe ubunge kila mmoja ukiacha kulipwa hiyo mishahara ili nawao wapate sitting allowance…hii itawajengea uwezo wa kuwa viongozi wetu wa baadae kama wazazi wao wanavyo tuongoza vizuri
 
Reactions: EEX
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ walala hoi waache uvivu wafanye kazi lasivyo wataendelea kulalwa hii nchi ni ya viongozi na watoto wao …nyie wengine muendelee kuchapa kazi…..
 
Reactions: EEX
Halafu hata michepuko ya wenzi wa viongozi nao pia walipwe make wanasaidia sana kuwapa liwazo wenzi na kubalance mambo ya ndoa pindi waume/ke wanapokuwa mbali kutekeleza majukumu ya kitaifa.
Naunga mkono hoja...
 
Mnaleta masikhara kwenye masuala nyeti Kwa taifa kama Haya,ngoja wenzenu wasivyo na Haya wapite na huu upepo Kwa madai ni Mapenzi ya wananchi wanasikiliza maoni yenu ndio MTAJUA HAMJUI chezea CCM nyie!
 
Unajua hamna kitu inaniuma kama makadirio ya TRA?TOZO, na vikodi vua ajabu ajabu! hawachelewi Hawa kusema ni maoni ya wananchi wapandishe hizo TOZO zao mara dufu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Leo nimekupata. Bado hujasema Mkuu.
 
Mnaleta masikhara kwenye masuala nyeti Kwa taifa kama Haya,ngoja wenzenu wasivyo na Haya wapite na huu upepo Kwa madai ni Mapenzi ya wananchi wanasikiliza maoni yenu ndio MTAJUA HAMJUI chezea CCM nyie!
Sio utani watoto wanateseka acha wafutwe machozi ikiwezekana wapewe hata ubunge kila mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…