Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Yaani walala hoi wanalalwa kabisa.Uliwahi kuona mtu analipwa kwa sababu ya kulala Mkuu?
Fanyeni kazi nyie
Wakienda kuomb kazi wanalalwa
Katika mfumo wa monosex wanaolalwa ni walalahoi.
Walikosea wanalalwa kama adhabu.
Wake zao wakikutaba na boss kama ni warembo wanalalwa.
Wakiomba msaada kwa boss kama ni binti analalwa.
Tuwaelimishe watoto walalahoi kufanya mizunguko wa fedha ili wasikutane na maboss